- Fountain Gate (0) vs Simba SC (3) NBC Premier League, Aprili 15, 2026 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
- Clatous Chama amefunga goli la ufunguzi dakika ya 45+7 dakika chache kabla ya mapumziko.
- Libase Gueye amefunga goli la pili dakika ya 53 akitumia pasi ya Seleman Mwalimu
Fountain Gate (0) vs Simba SC (3) ni matokeo rasmi mchezo wa NBC Premier League uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Mechi ilikuwa na ushindani kwa kuangalia head-to-head Fountain Gate hawajapata ushindi. Katika mechi 4 walizokutana sare ni moja hivyo wenyeji walikuwa wakipambana kuvunja rekodi.
TAARIFA YA USAJILI: Tetesi: Simba SC inamfuatilia Salim Adams kiungo mshambuliaji Madeama SC | Chobwedo
Je, bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa
Ni zamu yako sasa, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Fountain Gate (0) vs Simba SC (3) NBC Premier League

Aprili 15, 2026 Fountain Gate (0) vs Simba SC (3) NBC Premier League. Clatous Chama alifunga goli la ufunguzi dakika ya 45+7. Libasse Gueye alifunga goli la pili dakika ya 53 na Shaban Mgunda alijifunga dakika ya 71.
Fountain Gate matokeo ya hivi punde haijawa kwenye mwendo mzuri. Mchezo uliopita ilipoteza kwa kufungwa magoli 4-0 dhidi ya Azam FC, CRDB Federation. Mnyama alitoka kushinda magoli 3-1 Dodoma Jiji FC ikitinga hatua ya robo fainali.
Mechi ijayo kwa Fountain Gate iliyo nafasi ya 14 kwenye msimamo ni dhidi ya Mtibwa Sugar. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 18, 2026 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Namungo FC vs Simba SC inatarajiwa kuchezwa Aprili 19, 2026, Uwanja wa Majaliwa.
Simba SC kwenye msimamo ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 39. Mnyama ameachwa kwa tofauti ya pointi 5 na vinara Yanga SC wenye pointi 44. Fountain Gate ipo nafasi ya 14 ina pointi 16 zote zimecheza mechi 18, 2025/26.
FUATILIA TAARIFA YA USAJILI : Usajili wa Chama Simba SC washtua! Mayele, Kagere, Okwi wafunguka Mazito

Head to head Fountain Gate vs Simba SC

15 Aprili 2026, Fountain Gate 0-3 Simba SC
25 Septemba 2025, Simba SC 3-0 Fountain Gate
06 Februari 2025, Fountain Gte 1-1 Simba SC
25 Agosti 2024, Simba SC 4-0 Fountain Gate
SOMA HII: Simba SC kufanya usajili mkubwa | Maeneo yatakayoboreshwa | Mo atoa tamko zito | Ahmed atamba
Hitimisho
Fountain Gate (0) vs Simba SC (3) matokeo ya dakika 90 za uwanjani. Mnyama anavuna pointi tatu ugenini katika uwanja mgumu. Ellie Mpanzu dakika ya 71 alitoa pasi chonganishi iliyopelekea Fountain Gate kujifunga.

