Yanga SC haijafungwa mechi 19Aziz
  • Yanga SC ina Unbeaten 27 CRDB Federation Cup
  • Mara ya mwisho Yanga SC kufungwa ilikuwa katika fainali ya 2021 goli moja dhidi ya Simba SC
  • Maxi Nzengeli goli lake la dakika ya 67 dhidi ya TMA Stars limeipelekea timu hiyo hatua ya robo fainali

Yanga SC ina Unbeaten 27 CRDB Federation Cup ikitwaa mataji miaka minne mfululizo. Timu hiyo haijapoteza mchezo wowote tangu 2021/22. Ushindi waliopata wa goli 1-0 TMA Stars Uwanja wa KMC Complex ulikamilisha rekodi hiyo.

TAARIFA YA USAJILI: Yanga SC imetambulisha wapya 10 dirisha la usajili Ecua afungua Agosti / Walioongeza mikataba/ Usajili

Je, bado hujashinda mamilioni ya aviator ‘Kindege’ cha SportPesa? Cheza ushinde mamilioni sasa

Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Sportpesa Aviator Rain Free Bets- Mil

Yanga SC imefikisha Unbeaten 27 tofauti na Unbeaten ya NBC Premier League

Yanga SC ina Unbeaten 27 CRDB Federation Cup
Wachezaji wa Yanga SC kwenye mchezo wa ushindani. Source: Yanga SC.

Yanga SC ina Unbeaten 27 michuano ya CRDB Federation Cup chini ya Kocha Mkuu, Pedro Goncalaves. Hii ni tofauti na rekodi ya Unbeaten kwenye mechi 18 za NBC Premier League 2025/26. Hawa ni mabingwa watetezi wa mataji yote mawili wametinga robo fainali CRDB Federation Cup.

Mabingwa hao mara 31 NBC Premier League wanaifukuzia rekodi ya Unbeaten 49 kwenye ligi. Kwenye CAF Champions League 2022/23 walicheza hatua ya fainali. Msimu wa 2025/26 wanatetea mataji mawili makubwa NBC Premier League na CRDB Federation Cup.

Matokeo ya Yanga SC 2021/22

‎Yanga SC 4-0 Ihefu

‎Yanga SC 1-0 Mbao

‎Yanga SC 2-1 Biashara United

‎Yanga SC 1-1 Geita Gold (7-6 Penalti)

‎Yanga SC 1-0 Simba SC

‎Mchezo wa fainali:- Yanga SC 3-3 Coastal Union (4-1 Penalti)

SOMA HII: Yanga SC: Historia, Usajili wote, kikosi, Ratiba, Matokeo na Takwimu

Sportpesa Aviator Rain Free Bets- Mil

‎Matokeo ya Yanga SC 2022/23

Yanga SC 8-0 Kurugenzi

‎Yanga SC 7-0 Rhino Rangers

‎Yanga SC 4-1 Tanzania Prisons

‎Yanga SC 1-0 Geita Gold

‎Singida Big Stars 0-1 Yanga SC

‎Azam FC 0-1 Yanga SC (Final)

‎Matokeo ya Yanga SC 2023/24

‎Yanga SC 5-1 Hausang FC

‎Yanga SC 5-0 Polisi Tanzania

‎Dodoma Jiji 0-2 Yanga SC

‎Yanga SC 3-0 Tabora United

‎Singida Big Stars 0-1 Yanga SC

‎Matokeo ya fainali: Azam FC 0-0 Yanga SC (5-6 Penalti)

‎Matokeo ya Yanga SC 2024/25

Yanga SC 5-0 Copco FC

‎Yanga SC 3-1 Coastal Union

‎Yanga SC 2-0 Songea United

‎Yanga SC 8-1 Stand United

‎Yanga SC 2-0 JKT Tanzania

‎Yanga SC 2-0 Singida Black Stars (Final)

‎Matokeo ya Yanga SC 2025/26

Yanga SC ina Unbeaten 27 CRDB Federation Cup
Yao nyota wa Yanga SC vs TMA Stars. Source: Yanga SC.

‎Yanga SC 2-0 Cosmopolitan FC

‎Yanga SC 7-1 Polisi Tanzania

Yanga SC 1-0 TMA Stars

SOMA HII: Yanga SC Unbeaten NBC Premier League 2025/26: Haya hapa Matokeo yote na rekodi za Wananchi msimu huu, Azam hawavumi lakini wamo

Hitimisho

Yanga SC ina Unbeaten 27 CRDB Federation Cup ikiwa ni rekodi nyingine mpya. Mabingwa hao watetezi wanatetea taji hilo kwa msimu wa 2025/26. Je nani atavunja rekodi hiyo?

Share this: