Singida Black Stars vs Azam FCKhalid Aucho S-B-S

Singida Black Stars vs Azam FC ni shughuli kubwa kama zilivyo nyingine. Huu ni mchezo unaotarajiwa kuchezwa Aprili Mosi, 2026. Burudani ya NBC Premier League itafanyika katika Uwanja wa Airtel, saa 10:00 jioni.

SOMA HII: Singida Black Stars vs Azam FC NBC Premier League | H2H, msimamo, takwimu, utabiri

Je, bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa hivi

Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Sportpesa Aviator- 800Mil

Singida Black Stars vs Azam FC ni shughuli kubwa

Singida Black Stars vs Azam FC
Feisal Salim kiungo wa Azam FC. Source: Azam FC.

Wawili hawa Singida Black Stars vs Azam FC ni shughuli kubwa uwanjani kutokana na ubora wa timu. Wenyeji wamekuwa katika mwendo mzuri uwanjani. Huku wageni wakiwa hawajapoteza mchezo ndani ya ligi.

Singida Black Stars baada ya mechi 15, wamepata sare, (D) katika mechi 4. Ushindi, (W) mechi 7 huku wakipoteza, (L) kwenye mechi 4. Wanawakaribisha Azam FC waliocheza mechi 15. Hawajapoteza mchezo, ushindi mechi 7. Matajiri wamekusanya sare katika michezo 8.

H2H Singida Black Stars vs Azam FC NBC Premier League

TimuMechiUshindiSare
Singida Black Stars921
Azam FC961

Matokeo Singida Black Stars vs Azam FC, NBC Premier League

03/12/2025, Azam FC 0-0 Singida Black Stars
06/04/2025, Singida Black Stars 1-0 Azam FC
28/11/2024, Azam FC 2-1 Singida Black Stars
21/04/2024, Azam FC 1-0 Singida Black Stars
04/11/2023, Singida Black Stars 1-3 Azam FC
13/03/2023, Singida Black Stars 1-0 Azam FC
31/10/2022, Azam FC 1-0 Singida Black Stars
11/03/2021, Azam FC 3-0 Singida Black Stars
20/10/2020, Singida Black Stars 0-2 Azam FC

Mechi za Singida Black Stars Machi NBC Premier

Singida Black Stars vs Azam FC
Singida Black Stars kwenye moja ya mchezo NBC Premier. Source: Singida Black Stars.
TimuMechiWLDHA
Singida Black Stars532032

Katika mechi 5 Machi 2026 kwenye ligi, Singida Black Stars imepata ushindi, (W) katika mechi 3. Imepoteza, (L) katika mechi 2. Hakuna sare, (D), ilikuwa nyumbani , (H) mechi 3 na ugenini, (2).

Mechi zote za ugenini ilishinda. Ikiwa nyumbani ilipata ushindi mchezo mmoja na ilipoteza mechi 2. Je mchezo ujao atashinda?

SOMA HII: Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC) 2025/26, kimataifa ni Al Ahly vs Yanga SC

Sportpesa Aviator- 800Mil

Takwimu za Azam FC, Machi NBC Premier

Singida Black Stars vs Azam FC
Mashujaa FC vs Azam FC kwenye mchezo wa NBC Premier League, Machi, 2026. Source: Azam FC.
TimuMechiWLDHA
Singida Black Stars510414

Ndani ya Machi 2026, Azam FC ni mechi 5 alishuka uwanjani. Ushindi ni mchezo mmoja. Sare katika mechi 4. Mchezo ujao ugenini je mwiko utavunjwa kwa matajiri kupata ushindi?

SOMA HII: Azam FC 0-0 Yanga SC Dar Derby/ Highlights, standings, statics

Sportpesa Aviator- 800Mil

Msimamo Singida Black Stars vs Azam FC

POSMPWDLPTS
3. Azam FC1578029
6. Singida Black Stars1574425

Hitimisho

Singida Black Stars vs Azam FC ni shughuli kubwa inayosubiriwa kwa shauku kubwa. Matajiri wa Dar wenye kiungo Feisal Salum watakuwa ugenini. Je rekodi yao italindwa ama itatibuliwa?

Share this: