- Tanzania Premier League, Aprili 2, 2026 kutakuwa na mchezo mkali Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuoyo wanaume 22 wakisaka pointi 3.
- Simba SC vs Coastal Union NBC Premier League ni kituo kinachofuata.
- Matokeo ya Simba SC 2-2 Coastal Union ilikuwa mara ya mwisho walipokutana mnyama akiwa nyumbani.
Simba SC vs Coastal Union NBC Premier League Aprili 2, 2026 ni ratiba ijayo. Mchezo uliopita mnyama alivuna pointi 3 mbele ya wakusanya mapato. Simba SC 3-0 TRA United yalikuwa matokeo mechi iliyopita, Machi 22, 2026.
SOMA HII: Ratiba ya Simba SC NBC Premier League 2025/26 ni moto | Msimamo, Mzizima Dabi, Kariakoo Dabi

Simba SC vs Coastal Union NBC Premier League inachezwa usiku

Ni mwendelezo wa burudani Simba SC vs Coastal Union NBC Premier League, saa 1:00 usiku. Wanaume hawa wanapokutana kila mmoja huonyesha makucha yake. Mnyama amekuwa akivuja jasho jingi kuvuna pointi 3 mbele ya wapinzani wao.
H2H Simba SC vs Coastal Union NBC Premier League

01/03/2025, Coastal Union 0-3 Simba SC
04/10/2024, Simba SC 2-2 Coastal Union
09/03/2024, Coastal Union 1-2 Simba SC
21/09/2023, Simba SC 3-0 Coastal Union
09/06/2023, Simba SC 3-1 Coastal Union
03/12/2022, Coastal Union 0-3 Simba SC
07/04/2022, Coastal Union 1-2 Simba SC
31/10/2021, Simba SC 0-0 Coastal Union
11/07/2021, Simba SC 2-0 Coastal Union
21/11/2020, Coastal Union 0-7 Simba SC
SOMA HII: Jonathan Sowah na Allasane Kante kuikosa Yanga SC vs Simba SC/ TPLB yatuma ujumbe

Mechi zijazo kwa Simba SC NBC Premier League
Azam FC vs Simba SC, Aprili 5,2026 saa 1:00 usiku
Fountain Gate FC vs Simba SC, Aprili 9, 2026, saa 10:00 jioni
Namungo FC vs Simba SC, Aprili 15,2026 saa 1:00 usiku
Simba SC vs JKT Tanzania, Aprili 19,2026 saa 1:00 usiku
Simba SC vs Tanzania Prisons, Aprili 29, 2026 saa 1:00 usiku
Simba SC vs Yanga SC, Mei 3,2026 saa 11:00 jioni.
Mashujaa FC vs Simba SC, saa 12:15, jioni.
Coastal Union vs Simba SC, Mei 16,2026 saa 10:00 jioni
Simba SC vs Dodoma Jiji FC, Mei 20,2026, saa 1:00 usiku.
Msimamo wa NBC Premier League 2025/26

| POS | MP | W | D | L | PTS |
| 1.Yanga SC | 16 | 11 | 5 | 0 | 38 |
| 2.Simba SC | 14 | 9 | 4 | 1 | 31 |
| 3. Azam FC | 15 | 7 | 8 | 0 | 29 |
| 4. JKT Tanzania | 17 | 7 | 7 | 3 | 28 |
| 5.Pamba Jiji FC | 16 | 6 | 7 | 3 | 25 |
| 6.Singida Black Stars | 15 | 7 | 4 | 4 | 25 |
| 7.Mtibwa Sugar | 17 | 5 | 7 | 5 | 22 |
| 8.Namungo FC | 17 | 5 | 6 | 6 | 21 |
| 9.Dodoma Jiji FC | 17 | 5 | 6 | 6 | 21 |
| 10.TRA United SC | 16 | 5 | 5 | 6 | 20 |
| 11.Mashujaa FC | 17 | 4 | 7 | 6 | 19 |
| 12.Fountain Gate FC | 16 | 4 | 4 | 8 | 16 |
| 13.Coastal Union | 16 | 3 | 6 | 7 | 15 |
| 14.Mbeya City | 16 | 3 | 4 | 9 | 13 |
| 15.Tanzania Prisons | 17 | 3 | 4 | 10 | 13 |
| 16. KMC FC | 16 | 2 | 2 | 12 | 8 |
SOMA HII: Yanga SC bado ipo kazini, ratiba ya NBC Premier League, msimamo wa 5 bora

Hitimisho
Simba SC vs Coastal Union NBC Premier League Aprili 2,2026 ni mchezo mkali unaofuata. Mnyama anapambana kupunguza mzigo wa alama anazodaiwa na Yanga SC. Wapinzani Coastal Union wanapambania kuwa ndani ya 10 bora.

