- Pacome Zouzoua kwenye orodha ya wachezaji kikosi cha kwanza ugenini
- TRA United 0-0 Yanga SC NBC Premier League dakika 45 za mwanzo
- Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, kikosi cha Yanga SC kuna mabadiliko makubwa
TRA United 0-0 Yanga SC ni matokeo ya dakika 45 za mwanzo Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Kiungo Pacome Zouzoua ameanza kikosi cha kwanza chini ya Kocha Mkuu, Pedro Goncalves. Mzamiru Yassin kwa weyeji anaongoza eneo la ukabaji.
SOMA HII: Je Pacome Zouzoua chanzo Yanga SC 0-0 Simba SC? Ali Kamwe atoa ufafanuzi
Bado hujashinda mamilioni ya SportPesa?
Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Bashiri na SportPesa uvune mkwanja sasa hivi kwa kubonyeza picha hapo chini.

HT: TRA United 0-0 Yanga SC, NBC Premier League
TRA United 0-0 Yanga SC dakika 45 za kazi kwa wababe wawili uwanjani. Wageni wanaongoza kwenye eneo la umiliki wa mpira. Kwa upande wa mashuti ambayo yamelenga lango bado hakuna timu iliyofanikiwa ndani ya kipindi cha kwanza.

Rekodi za TRA United vs Yanga SC
| TRA United | Yanga SC | |
| 2 | Mashuti | 3 |
| 0 | Lenga lango | 0 |
| 34% | Umiliki | 66% |
| 2 | Mashuti yasiyolenga lango | 3 |
| 0 | Kadi nyekundu | 0 |
| 0 | Kadi ya njano | 0 |
| 0 | Kona | 1 |
| 0 | Magoli | 0 |
Kikosi cha TRA United dhidi ya Yanga SC

Langoni ni Noel
Wachezaji wengine ni Chobwedo, Kombo, Chamou, Joseph, Mapaka, Mzamiru Yassin.
Jamal, Nouma, Lazarus, Chewe hawa wameanza kikosi cha kwanza.
Wachezaji wa akiba
Fikirini, Makoye, Msati, Enock, Isack, Kaizer, Omari, Ally, Tebandeke, Mugoya.
Kikosi cha Yanga SC VS TRA United
Langoni
Djigui Diarra.
Mabeki
Israel Mwenda
Mohamed Hussen
Bakari Nondo
Assink
Viungo
Damaro
Maxi Nzengeli
Duke Abuya
Pacome
Shekhan.
Mshambuliaji
Prince Dube
Wachezaji wa akiba
Masalanga
Yao
Andabwile
Abubakar
Abdulnasir
Mudathir
Mwanengo
Kouma
Buba
Okello
SOMA HII: Azam FC vs Yanga SC: Jeshi la Yanga SC latua Dar leo Ijumaa, h2h, Ratiba, matokeo Ligi Kuu ya NBC

Hitimisho
TRA United 0-0 Yanga SC ni matokeo ya ngwe ya kwanza katika zile 90. Kipindi cha pili kitakuwa na matokeo kamili. Mpaka muda wa mapumziko hakuna aliyeona lango la mpinzani.

