Yanga SC vs JKT TanzaniaBuba J
  • Ahmed Ally, Kocha Mkuu wa JKT Tanzania atuma ujumbe kwa wapinzani.
  • Yanga SC vs JKT Tanzania NBC Premier League vita ya vinara na mabingwa watetezi.
  • Dodoma Jiji FC vs Simba SC kupigwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
  • Msimamo wa ligi na ratiba kamili Februari tumekusogezea hapa

Yanga SC vs JKT Tanzania ni ratiba inayofuata NBC Premier League. Vinara wa ligi watakuwa ugenini dhidi ya mabingwa watetezi. Makao makuu, Dodoma kutakuwa na mchezo wa Dodoma Jiji FC vs Simba SC mwendelezo wa burudani.

SOMA HII: Yanga SC haijapoteza mechi 2025/26 NBC Premier League / Kariakoo Dabi inanukia, matokeo, rekodi

Je hujashinda? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa hivi

Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

aviator

Yanga SC vs JKT Tanzania, Kocha Ahmed Ally atuma ujumbe

Kuelekea mchezo wa Yanga SC vs JKT Tanzania, kocha wa vinara wa ligi Ahmed Ally ametuma ujumbe mzito. Ally amebainisha kuwa wanatambua ugumu wa mchezo watapambana kupata pointi tatu.

“Tunatambua umuhimu wa mchezo na tutapambana kupata pointi tatu ugenini,”.

Maoni ya Kocha Mkuu wa Yanga SC, Pedro

Yanga SC vs JKT Tanzania
Pedro Goncalves, Kocha Mkuu wa Yanga SC. Source: Yanga SC.

Pedro Goncalves, Kocha Mkuu wa Yanga SC amesema kuwa wanajiamini na wataingia kwa tahadhari.

“Tunajiamini na tunaamini tutaleta ushindani kutoka kwa wapinzani wetu. Malengo nikuona tunapata alama tatu,”.

SOMA HII: Yanga SC 2-0 JKT Tanzania; Yanga yatinga Fainali Shirikisho CRDB yawasubiri Simba/Singida BS

aviator

Msimamo wa Yaga SC vs JKT Tanzania

 MPWDLPTS
1.JKT Tanzania1677228
2. Yanga SC981025


Februari 25,2026, Yanga SC vs JKT Tanzania, watapambana Uwanja wa KMC Complex.

Matokeo yaliyopita kwa Yanga SC

Februari 22,2026 Namungo FC 0-1 Yanga SC

Matokeo yaliyopita kwa JKT Tanzania

Februari 13,2026 JKT Tanzania 1-1 Coastal Union

Msimamo Dodoma Jiji FC vs Simba SC

Tanzania Prisons 0-2 Simba SC
Duchu wa Simba SC kwenye mchezo vs Tanzania Prisons. Source: Simba SC.
 MPWDLPTS
4. Simba SC971122
6.Dodoma Jiji FC1555520

Matokeo yaliyopita kwa Simba SC

Februari 22,2026 Tanzania Prisons 0-2 Simba SC

Matokeo yaliyopita kwa Dodoma Jiji FC

Februari 12,2026 Dodoma Jiji FC 3-0 TRA United

Kituo kinachofuata ni Februari 25,2026 Dodoma Jiji FC vs Simba SC, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

Azam FC vs Mtibwa Sugar msimamo

Lusajo IQ
Lusajo nahodha wa Azam FC. Source: Azam FC.
 MPWDLPTS
5.Mtibwa Sugar1556421
8.Azam FC954019

Matokeo yaliyopita kwa Azam FC

Februari 22,2026 KMC FC 0-2 Azam FC

Matokeo yaliyopita kwa Mtibwa Sugar

Februari 22,2026 Mtibwa Sugar 1-3 Singida Black Stars

Ni Februari 25, 2026, Azam FC vs Mtibwa Sugar, Uwanja wa Azam Complex.

Fountain Gate vs TRA United

Februari 25,2026, Fountain Gate vs TRA United

Msimamo wa Fountain Gate vs TRA United

 MPWDLPTS
12. TRA1234513
15.Fountain Gate1333712

Matokeo yaliyopita kwa Fountain Gate

Februari 11,2026 Singida Black Stars 1-0 Fountain Gate

Matokeo yaliyopita kwa TRA United

Februari 12,2026 Dodoma Jiji FC 3-0 TRA United

Namungo FC vs Singida Black Stars

Mtibwa Sugar 1-3 Singida Black Stars
Singida Black Stars kwenye moja ya mchezo wa NBC Premier League: Source: Singida Black Stars.

Februari 25,2026 ni Namungo FC vs Singida Black Stars, Uwanja wa Majaliwa.

Msimamo Namungo FC vs Singida Black Stars

 MPWDLPTS
7.Namungo FC1555520
10.S.B.S943215

SOMA HII: Mtibwa Sugar 1-3 Singida Black Stars, KMC FC yapigwa na Azam FC/ Namungo FC vs Yanga SC lineups

aviator

Matokeo yaliyopita kwa Namungo FC

Februari 22,2026 Namungo FC 0-1 Yanga SC

Matokeo yaliyopita kwa Singida Black Stars

Februari 22,2026 Mtibwa Sugar 1-3 Singida Black Stars

Msimamo wa NBC Premier League

Ligi
Ligi Kuu msimamo 2025/26. Source: Ligi.
Share this: