- Kibu Dennis mkandaji kuagwa leo rasmi mchezo wa NBC Premier League, Uwanja wa KMC Complex
- KMC FC vs Simba SC NBC Premier League ni leo saa 1:00 usiku, Steve Berkar kwenye mtihani mwingine
- Jonathan Sowah, Kante kuukosa mchezo na Wilson Nangu
KMC FC vs Simba SC NBC Premier League ni leo Februari 11 2026. Mnyama ametoka kuvuna pointi moja CAF Champions League mbele ya Petro de Luanda ya Angola. KMC FC ametoka kupoteza kwa kufungwa magoli 2-1 dhidi ya Dodoma Jiji.
SOMA HII: Mechi za Simba SC 2025/26 CAF Champions League, NBC Premier League ni moto| Matokeo na wafungaji
Unasubiri nini? Vuna mamilioni sasa hivi
Kuna jambo umekwama kwa sasa kuhusu mkwanja? Usiogope, rubani ni jasiri na kazi yake ni kupaisha kindege cha SportPesa. Cheza sasa hivi Aviator uvune mamilioni bofya hapa chini.

KMC FC vs Simba SC NBC Premier League utabiri upoje?

Kuelekea mchezo wa KMC vs Simba SC NBC Premier League leo, mnyama anapewa nafasi kubwa ya ushindi. Hii inatokana na mwendo wa KMC FC kutokuwa katika uimara. Licha ya mwendo wa wenyeji kutokuwa bora bado wananafasi kupata matokeo mbele ya Mnyama.
Kwenye mechi 4 walizokutana hivi karibuni, Simba SC ilipata ushindi mechi 3. Walitoshana nguvu mchezo mmoja kwa kufungana magoli 2-2. Hivyo wanapokutana wababe hawa magoli ni kitu ambacho ni nadra kukukosekana.
Wachezaji watakaokosekana

Simba SC inatarajiwa kuwakosa wachezaji wake muhimu. Jonathan Sowah ambaye ni mshambuliaji na Allasane Kante kiungo.Hawa wawili wanatumikia adhabu yakufungiwa mechi tano kutokana na utovu wa nidhamu mchezo dhidi ya Azam FC.
Wilson Nangu, Yakoub Suleiman na Mousa Camara hawa bado hawajawa fiti wanapambania kurejea kwenye ubora. Steve Berkar Kocha Mkuu wa Simba SC amesema kuwa anatambua mchezo utakuwa mgumu watapambana kupata pointi tatu ugenini.
SOMA HII: KMC 1-2 Simba SC, ushindi mechi nne mfulululizo, dakika 360, matokeo na wafungaji

Msimamo wa KMC FC vs Simba SC
| MP | W | L | D | PTS | |
| 7. Simba SC | 7 | 5 | 1 | 1 | 16 |
| 16. KMC FC | 14 | 2 | 10 | 2 | 8 |
H2H KMC vs Simba SC
5/11/2025, KMC FC 1-2 Simha SC
11/6/2024 Simba SC 4-0 KMC FC
25/5/2025 Simba SC 1-0 KMC FC
23/12/2023 KMC 2-2 Simba SC
Matokeo ya mechi 4 za KMC FC
8/2/2026 Dodoma Jiji FC 2-1 KMC FC
3/2/2026 KMC FC 1-0 Mashujaa FC
31/1/2026 Namungo FC 1-0 KMC FC
27/1/2026 Coastal Union 1-1 KMC FC
Matokeo ya mechi 4 za Simba SC

7/2/2026 mchezo wa CAF Champions League Petro de Luanda 1-1 Simba SC
1/2/2026 mchezo wa CAF Champions League Simba SC 2-2 Esperance
29/01/2026 NBC Simba SC 2-0 Mashujaa
24/01/2026 CAF Champions League Esperance 1-0 Simba SC
Hitimisho
KMC FC vs Simba SC NBC Premier League mchezo unaotarajiwa kuwa wa mwisho kwa kiungo Kibu Dennis. Mkandaji amekuwa katika majukumu ya unyamani tangu 2021. Ameuzwa na mabosi wa Simba SC anatarajiwa kuagwa rasmi mchezo wa leo, Uwanja wa KMC Complex.

