AFCON 2025 Senegal 3-1 SudanGueye
  • Ibrahim Mbaye kijana mwenye miaka 17 na siku 344 anaandika rekodi ya kufunga CAF akiwa na umri mdogo.
  • AFCON 2025 Senegal 3-1 Sudan. Goli la dakika ya 6 liliwashangaza wengi.
  • Pape Gueye aiongoza Senegal kutinga hatua ya robo fainali akitwaa tuzo ya mchezaji bora wa mchezo.

AFCON 2025 Senegal 3-1 Sudan ni matokeo rasmi kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora. Aamir Abdallah alipachika goli la kuongoza kwa Sudan. Dakika ya 29 Senegal walisawazisha na kuongeza goli la pili dakika ya 45+3 kupitia kwa Pape Gueye. Goli la tatu ni kipindi cha pili limefungwa na Ibrahim Mbaye dakika ya 77.Mchezo umechezwa Grand Stade de Tanger, Morocco.

SOMA HII: AFCON 2025: Matokeo, hawa hapa wafungaji bora kabla ya Ratiba ya 16 bora, Feisal na Msuva wamo?

Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa hivi

Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

image

AFCON 2025 Senegal 3-1 Sudan Pape Gueye alibadili upepo

AFCON 2025 Senegal 3-1 Sudan
Gueye mchezaji wa timu ya taifa ya Senegal.

Pape Gueye alibadili upepo AFCON 2025 Senegal 3-1 Sudan kwa kufunga magoli yaliyowashangaza wapinzani wao. Ikumbukwe kwamba Sudan walianza kuukamata mchezo dakika ya 6. Magoli mawili yaliyofungwa kabla ya mapumziko yaliwaongezea mzigo mzito.

Rekodi za Senegal vs Sudan

Sudan
Sudan walianza kupata goli mbele ya Senegal AFCON 2025.
Senegal Sudan
12Mashuti8
7Lenga lango3
67%Umiliki33%
15Faulo10
0Kadi nyekundu0
2Kadi za njano2
7Kona4
3Magoli1

SOMA HII: AFCON 2025 hatua ya 16 bora ratiba/ Morocco vs Tanzania kuwashangaza wengi, msimamo

image

Tuzo ya mchezaji bora

Pape Gueye mchezaji wat imu ya taifa ya Senegal amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo. Gueye alikuwa kwenye kiwango bora akifunga magoli mawili katika hatua ya 16. Safari ya Senegel kuelekea hatua ya robo fainali imekamilika licha ya kufungwa goli la mapema kipindi cha kwanza.

Ratiba ya mechi zijazo

Jumapili, Januari 4,2026

Feisal Salum
Feisal Salum nyota wa timu ya taifa ya Tanzania.

Morocco vs Tanzania saa 1:00 usiku
Afrika Kusini vs Cameroon saa 4:00 usiku

Jumatatu, Januari 5,2026

Misri vs Benin saa 1:00 usiku
Nigeria vs Msumbiji, saa 4:00 usiku

Jumanne, Januari 6, 2026

Algeria vs Dr Congo saa 1:00 usiku
Ivory Coast vs Burkina Faso, saa 4:00 usiku.

Msimamo wa makundi

Kundi A

 MPWDLPTS
1.Morocco32107
2. Mali30303
3.Comoros30212
4.Zambia30212

Kundi B

 MPWDLPTS
1.Misri32107
2. A.Kusini32016
3.Angola30212
4.Zimbabwe30121

Kundi C

 MPWDLPTS
1. Nigeria33009
2.  Tunisia31114
3.Tanzania30212
4.Uganda30121

Kundi D

 MPWDLPTS
1. Senegal32107
2.Dr.Congo32107
3.Benin31023
4.Botswana30030

Kundi E

 MPWDLPTS
1. Algeria33009
2.B. Faso32016
3.Sudan31023
4.Eq.Guinea30030

Kundi F

 MPWDLPTS
1.I. Coast32103
2. Cameroon32103
3.Mozambique31023
4. Gabon30030

SOMA HII: AFCON 2025: Hizi hapa nchi 5 zilizotolewa mapema  

image


Hitimisho

AFCON 2025 Senegal 3-1 Sudan kwenye hatua ya 16 bora 2026. Hofu ya Sudan iligeuka tishido katika dakika 15 za mwanzo walipokuwa wakiongoza. Senegal walipindua meza katika dakika ya 29 na kuukamata mchezo. Je safari yao itaendelea mbele ama watakwaa kisiki? Endelea kutufuatilia tutakujuza kila hatua.

Share this: