Simba SC 0-0 Nsingizini Hotspurs CAF Champions League Oktoba 26Mpanzu vs Nsingizini
  • Simba SC 0-0 Nsingizini Hotspurs CAF Champions League Oktoba 26,2025 Uwanja wa Benjamini Mkapa, Dar.
  • Dimitar Pantev akiongoza kikosi cha mnyama kutinga hatua ya makundi kwa jumla ya mabao 3-0 Nsingizini Hotspurs.
  • Ukuta mgumu ulisukwa na Nsingizini Hotspurs kwenye mchezo wa pili.

Mchuano mkali uliamua matokeo kuwa Simba SC 0-0 Nsingizini Hotspurs CAF Champions League Oktoba 26,2025, Uwanja wa Benjamini Mkapa. Licha ya suluhu hiyo Nsingizini Hotspurs wameaga mashindano kwa kukosa tiketi ya kutinga hatua ya makundi. Mnyama Simba SC anasonga mbele kwa jumla ya mabao 3-0. Ushindi huo aliupata ugenini Oktoba 19,2025 nchini Eswatini.

SOMA HII: Simba SC vs Nsingizini Hotspurs CAF Champions League 2025 |Utabiri, H2H

Shinda sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa hivi

Zamu yako kushinda na SportPesa, unaweza kushinda mamilioni sasa hivi. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kupitia Kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa bonyeza picha hii chini.

image

Simba SC 0-0 Nsingizini Hotspurs CAF Champions League mfumo wa Patev wabadilishwa

Simba SC 0-0 Nsingizini Hotspurs CAF Champions League Oktoba 26
Morice Abraham kiungo wa Simba SC kwenye mchezo dhidi ya Nsingizini. Source: Simba SC.

Simba SC 0-0 Nsingizini Hotspurs CAF Champions League mfumo wa meneja wa Simba SC, Dimitar Patev ulibadilishwa. Katika kikosi cha kwanza hakutumia mshambuliaji halisia. Ni viungo washambuliaji alianza nao kipindi cha kwanza jambo ambalo alikuwa analifanyia kazi.

Mbali nae neo la ushambuliaji katika eneo la beki wa kulia, Shomari Kapombe alianzia benchi. Kijana David Kameta maarufu kwa jina la Duchu alianza. Kitambaa cha unahodha kwenye mchezo huo alikabidhiwa kiungo Kibu Dennis.

Mechi 8 za Simba SC

Oktoba 26,2025 Simba SC 0-0 Nsingizini Hotspurs. Ligi ya Mabingwa Afrika.

Nsingizini Hotspurs 0- 3 Simba SC, Oktoba 19,2025. Ligi ya Mabingwa Afrika.

Oktoba Mosi 2025, Simba SC 3-0 Namungo FC, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Septemba 28 2025, Simba SC 1-1 Gaborone United, Ligi ya Mabingwa Afrika.

Septemba 25 2025, Simba SC 3-0 Fountain Gate mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Septemba 20 2025, Gaborone United 0-1 Simba SC, Ligi ya Mabingwa Afrika.

Septemba 16 2025, Yanga SC 1-0 Simba SC, Ngao ya Jamii.

Septemba 10 2025, Simba SC 2-0 Gor Mahia mchezo wa kimataifa wa kirafiki.

SOMA HII: Simba SC vs Nsingizini Hotspurs CAF Champions League statics | H2H, Lineups

image

Kikosi cha Simba SC vs Nsingizini Hotspurs

Kibu D (-)
Kibu Dennis kiungo wa Simba SC akiwa kwenye majukumu. Source: Simba SC.

Mlinda mlango

Yakoub Suleman

Mabeki

Chamou

Mligo

David Kameta

De Reuck

Viungo

Yusuph Kagoma

Joshua Mutale

Ellie Mpanzu

Kibu Dennis

Morice Abraham

Jean Ahoua

Wachezaji wa akiba

Hussen Abel, Shomari Kapombe, Wilson Nangu, Naby Camara, Awesu Awesu, Kante, Maema, Sowah, Mukwala

Mechi 8 za Nsingizini Hotspurs

Oktoba 26,2025 Simba SC 0-0 Nsingizini Hotspurs. Ligi ya Mabingwa Afrika.

Nsingizini Hotspurs 0- 3 Simba SC, Oktoba 19,2025. Ligi ya Mabingwa Afrika.

Nsingizini Hotspurs 1-0 Simba Bhora, ilishinda kwa penalti 4-2, Septemba 28,2025 mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Simba Bhora 1-0 Nsingizini Hotspurs, Septemba 21 2025, Ligi ya Mabingwa Afrika.

Black Bulls 1-0 Nsingizini Hotspurs, Septemba 19,2025, mchezo wa kirafiki.

Sidvwashini United 0-5 Nsingizini Hotspurs, Mei 25 2025, mchezo wa MTN Premier League.
Nsingizini Hotspurs 2-1 Rangers Shiselweni, Mei 17 2025, MTN Premier League.

Mbabane Highland FC 2-1 Nsingizini Hotspurs, MTN Premier League, Mei 11 2025.

SOMA HII: Simba SC vs Nsingizini Hotspurs CAF Champions League | H2H, kikosi kilichosafiri, utabiri

image

H2H

Dimitar Pantev
Dimitar Pantev, Meneja Mkuu wa Simba SC. Source: Simba SC.

Nsingizini Hotspurs 0-3 Simba SC, Oktoba 19 2025, CAF Champions League.

Simba SC 0-0 Nsingizini Hotspurs, Oktoba 24,2025, CAF Champions League.

Hitimisho

Simba SC 0-0 Nsingizini Hotspurs CAF Champions League Oktoba 26 wababe walitoshana nguvu. Mchezo huo ulikuwa na ushindani mkubwa. Mnyama anakwenda hatua inayofuata kwa faida ya ushindi wa ugenini.  

Share this: