SportPesa Goal Rush -Washindi wa wikiSportPesa Goal Rush -Washindi wa wiki

Baada ya kuuanza mwaka mpya kwa kishindo katika wiki ya kwanza ya mwaka 2025, Kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa imeendelea kufanya balaa kupitia ushindani wa SPORTPESA Goal Rush ambapo wiki hii ya pili ushindi umezidi kuwa mkubwa ambapo washindi wapya wamepatikana kuanzia Jumatatu mpaka Jumamosi.

Tumejionea msisimko wa soka ukiendelea na ubashiri wa kipekee kutoka kwa mashabiki wetu waliothibitisha tena uwezo wao wa kutabiri matokeo kwa usahihi.

SPORTPESA
SportPesa Goal Rush -Washindi wa wiki

Mchezo wa Goal Rush unazidi kuwa mtihani wa maarifa kwa wapenzi wa soka nchini Tanzania, Mchezo huu ukitaka kujua nani anaweza kutabiri timu itakayofunga kwanza, katika kipindi gani, na hata dakika kamili bao hilo litakapofungwa. Mashindano ya wiki hii yameleta changamoto mpya na washindi walionyesha ustadi wao kwa kubashiri matokeo sahihi.

Hii ni orodha ya washindi wa wiki hii, ambao kila mmoja alijishindia zawadi ya Tsh 200,000/= kila siku, huku zawadi kuu ya Tsh 100,000,000/= ikiendelea kusubiri mshindi wa kutabiri matokeo kamili katika seti tatu za mechi. Je, unaweza kuwa wewe?

 

Jumatatu: MKWANJA MONDAY

 

SPORTPESA

SPORTPESA

 

 

Jumanne: TAJIRI TUESDAY

 

SPORTPESA

SPORTPESA

Jumatano: Zali Day Wednesday

 

SPORTPESA

SPORTPESA

Alhamisi: Maokoto Thurday

 

SPORTPESA

SPORTPESA

 

Ijumaa: Faidika Friday

SPORTPESA

SPORTPESA

 

 

Jumamosi: Shamrashamra Saturday

SPORTPESA

SPORTPESA

 

 

Wiki iliyopita tuliwasherehekea mabingwa wa soka, na wiki hii pia tunasherekea ushindi wa wengine mambo ni moto! Je, unajiandaa kuwa kwenye orodha ya mabingwa wa wiki ijayo? Usikose kujiunga nasi tena kwenye msisimko wa Goal Rush na uonyeshe uwezo wako wa kutabiri soka kwa usahihi!

Endelea kucheza, na tunawatakia kila la kheri

SportPesa Ushindi Upo Nawe !!

Share this:

By Joel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.