Mshindi wa KrismasiNaSportPesa

Jumla ya washindi zaidi ya 25 wamezawadiwa TZS 100,000 kutoka kwenye promosheni ya KrismasiNaSportPesa inayoendelea msimu huu wa sikukuu.

Kampeni hii inalenga kuwapa nafasi wateja wa SportPesa kujishindia zawadi za pesa kila siku, wiki, bila kusahau washindi wa kutoka mtaani kila wiki.

Mshindi wa KrismasiNaSportPesa

Mwakilishi wa  Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano SportPesa, Lydia Solomon,” alieleza kuwa hadi kufikia mwisho wa wiki iliyopita tuliweza kuwazawadia zaidi ya washindi 25, ambapo kila siku tulitoa washindi 4, kwa wiki washindi 3 na washindi 2  walipatikana mtaani, ambapo timu yetu  ilipita Alhamisi,  maeneo ya mbagala na walifanikiwa kupata washindi hao ambao  kila mmoja alijishindia TZS 100,000.

“KrismasiNaSportPesa” itadumu kwa muda wa siku 21, na kila siku watapatikana washindi 4 ambao watajishindia TZS 100,000, pia kutakuwa na washindi wa wiki ambao watajishindia vocha ya TZS 500,000 ili kufanya manunuzi kwa ajili ya sikukuu ya Krismasi, na kila Alhamisi kutatolewa washindi 2 kutoka mtaani ambao hawa pia watajishindia vocha ya kufanya manunuzi ya TZS 100,000.

SportPesa inatoa rahi kwa wateja wake wote kushiriki kampeni hii ili waweze kujizawadia zawadi hizi ambazo wataweza kufurahia msimu huu wa sikukuu na familia zao.

Kampeni hii imeanza kuanzia tarehe 4 hadi tarehe 22 mwezi disemba,2023

Ili kuweka bashiri yako na SportPesa tembelea tovuti yetu ya www.sportpesa.co.tz au piga *150*87# au wasiliana na huduma kwa wateja +255 764 115588.

 

 

 

 

Share this: