Mashujaa FC 1-0 Pamba Jiji FCMashujaa FC --- Pamba Jiji FCMashujaa FC --- Pamba Jiji FC

Mashujaa FC 0-1 Pamba Jiji FC NBC Premier League 2026/27

  • Ft:Mashujaa FC 0-1 Pamba Jiji FC NBC Premier League 2026/27.
  • Pambano hili kali limepigwa Uwanja wa Lake Tanganyika, 02/11/2026
  • Bao pekee la ushindi limefungwa na Crispin Ngushi dakika ya 20 lilidumu mpaka mwisho wa mchezo.

Mashujaa FC 1-0 Pamba Jiji FC ni matokeo rasmi ya mchezo wa NBC Premier League 2026/27.Pambano hili limepigwa 02/11/2026 Uwanja wa Lake Tanganyika,Kigoma.Bao la ushindi limefungwa na Crispin Ngushi dakika ya 20 ya mchezo.

SOMA HII PIA:Mashujaa FC: Ratiba, Matokeo na Msimamo Ligi Kuu Bara 2026/27

Shinda mamilioni sasa hivi ukipaisha Kindege cha SportPesa

Una nafasi yakushinda mamilioni sasa hivi ukipaisha Kindege cha SportPesa. Rubani makini anapaa angani akiwa na uhakika. Mwanzo wa wiki muda sahihi kuvuna mamilioni. Bofya hapa chini ushinde sasa hivi.

image

Taarifa Mashujaa FC 1-0 Pamba Jiji FC

Kipengele Maelezo
Mashindano NBC Premier League
Matokeo Mashujaa FC 1-0 Pamba Jiji FC
Uwanja Uhuru
Tarehe 02/11/2026
Timu mwenyeji Mashujaa FC

SOMA HII PIA:Clement Mzize ‘is back’: Aiangamiza Mashujaa FC, Wasifu, Takwimu zake Ligi Kuu NBC hizi hapa

Takwimu

Kipengele Mashujaa FC Pamba Jiji FC
Mabao 1 0
Mashuti 12 07
Umiliki 41%  59%
Pasi 221 266
Mashuti yaliyolenga lango 04 01
Nafasi zilizotengenezwa 12 7
Kona 3 5

Mkakati umengwa na pointi 3 zikibaki Lake Tanganyika, mwisho wa reli Kigoma.Wenyeji waliongeza nguvu eneo la ulinzi kwa muda wa dakika 70 zilizosalia.Pamba FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Francis Baraza ilikuwa na umiliki mkubwa wa mchezo huku wageni wakiongeza umakini kwenye eneo la kuokoa hatari.

Takwimu

Mashujaa FC 1-0 Pamba Jiji FC raundi ya 11 limefungwa bao moja ndani ya dakika 90.Mfungaji wa bao la ushindi alitumia dakika 82 akipiga shuti moja pekee lililolenga lango likizama nyavuni.Mtuwi alikuwa nyota imara eneo la ukabaji wa Mashujaa FC akitibua mipango ya wapinzani Pamba Jiji FC.

Share this: