IMGIMG

NANI KUONDOKA KIFUA MBELE KWA MKAPA???

Siku ya leo watanzania watakuwa na shauku kubwa ya kujua ni kwa namna gani timu yao pendwa ya Yanga inaweza kupata matokeo ambayo yatatoa taswira kamili ya hatua inayofuata ya mashindano ya kombe la shirikisho Afrika.

Kama wadau wa ubashiri wa michezo, SportPesa tayari tumeshakuwekea mechi CAF-Kombe la Shirikisho kati ya Yanga na Real Bamako ya Mali, ambayo itachezwa leo majira ya saa moja jioni katika uwanja wa Mkapa, Dar-Es-Salaam.

Yanga na Real Bamako wote wapo katika kundi D, Yanga akishikilia nafasi ya pili akiwa na pointi 4 baada ya kufungwa mechi 1, kushinda mechi 1 na kutoa droo mechi 1.

YangaKatika mechi zote Yanga ilizocheza, wamepoteza mechi ya kwanza dhidi ya Monastir ya Tunisia kwa kufungwa magoli mawili, kabla ya kuzinduka na kushinda mechi iliyofuata dhidi ya TP Mazembe, kwa magoli 3 kwa 1, jijini Dar-Es-Salaam, na kisha kutoa sare na Real Bamako kule Mali, wiki moja na nusu iliyopita.

Kwa namna ambavyo msimamo wa kundi D ulivyo, Yanga nayo inahitaji kushinda tu ili ijiweke kwenye mazingira mazuri ya Kwenda hatua inayofuata ya robo fainali.

Na ili iweze kufika huko ni ushindi tu utakaowawezesha kushika nafasi ya pili ambayo itawahakikishia nafasi ya kuendelea na mashindano haya ya kombe la shirikisho barani Africa.

Vikosi vya timu zote mbili yaani Yanga na Real Bamako viko tayari kwa mchezo na tayari timu zote mbili zimeshafanya mazoezi ya mwisho, siku ya jana, kabla ya kukabiliana siku ya leo katika uwanja wa Mkapa.

Ni matumaini yetu Yanga itafanya vizuri na kuiwakilisha vyema nchi yetu.

Kama nilivyotambulisha hapo awali mechi kati ya Yanga na Real Bamako ipo kwenye tovuti yetu hivyo unaweza kuingia sasa hivi na kuibashiria.

Pia unaweza kucheza Jackpot yetu kila wiki ambayo kwa sasa imesimamia Sh 1,087,305,640.

Unaweza kucheza mechi nyingine kali za leo ambapo baadhi ya mechi ni Pamoja na Tottenham VS Milan, , Celtic VS Heart, Livingston VS Dundee.

Tembelea tovuti yetu sportpesa.co.tz au piga *150*87# kubashiri nasi au kucheza michezo mingine kama Kasino, eSport, Virtual na Lucky numbers.

Taarifa zaidi za Yanga na SportPesa bofya hapa!

Share this: