JUMAMOSI YA KIBABE NA SPORTPESA
Ni wikiendi nyingine ya kimichezo inayokupa kila aina ya burudani pamoja na nafasi ya kupiga mkwanja na SportPesa. Kama ilivyo ada siku za Jumamosi wazee wa mikeka wanapata nafasi adhimu ya kucheza mechi nyingi.
Leo katika nchi mbali mbali kuanzia Tanzania, Africa, Ulaya, Asia, America na kwingineko ligi na mashindano mbali mbali yanarindima. Tukianzia na Uingereza EPL, timu za Arsenal, Man City, Brighton, Tottenham zitaingia dimbani.
Italia kuna AC Milan, Atalanta. Uhispania Villareal, Getafe na Atletico Madrid watakiwasha vya kutosha, wakati PSG na Lille wanawakilisha ligue 1 ya Ufaransa. Kama hiyo haitoshi Benfica, Porto na Vizela wao wanacheza kule ligi ya Ureno.
Ukienda Uholanzi kuna Feynoord na FC Twente. Ubelgiji timu ya Cercle Brugge na Standard liege na wao watakuwa dimbani usiku wa leo. Kule Scotland Rangers, Pamoja na St Johnstone wana mechi za ligi yao kuu wakati barani Africa kwenye Kombe la mabingwa Al Ahly yupo dimbani majira ya saa moja usiku.
Hapa Tanzania kombe la shirikisho Azam Sports Federations Cup Mtibwa VS KMC wanakiwasha mida ya saa kumi alasiri.
Ni wewe tu kundelea kutembelea tovuti yetu na kucheza.
WASHINDI KILA SIKU HAPA!

