skip to Main Content
Michezo Ya Kasino Ya Msimu Wa Sikukuu Ya Krismasi

Michezo ya Kasino ya Msimu wa Sikukuu ya Krismasi

Kampuni ya burudani na michezo ya kubahatisha SportSesa wiki hii imetambulisha michezo mipya ya kusisimua na kufurahisha kama sehemu ya kunogesha msimu wa sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya iliyopewa jina la ‘’Christmas Megaways Slot Game’’. 

Akizungumzia michezo hiyo ya kasino jijini Dar-es-Salaam, meneja uhusiano na mawasiliano wa Sportpesa, Sabrina Msuya anasema michezo hii mipya ya kasino ni sehemu ya mkakati  maalumu wa kuboresha na kuzipa thamani huduma na bidhaa zetu za kasino za SportPesa kuendana na nyakati husika.

“Kwetu Sportpesa mteja anapewa kipaumbele cha kwanza katika namna tunapanga mipango yetu tuwaletee bidhaa gani kwa muda husika. Hivyo kwa kuzingatia ubunifu na mahitaji ya soko kwa wakati husika tumewaletea michezo ya Christmas Megaways

Sasa utaweza kucheza michezo ya kasino kama Christmas Megaways, Merry Megaways na Santa Greatest gift, Bigger Bass Blizzard Christmass, ambayo inaendana sawiya na msimu huu ikikupa maudhui yanayofanana kabisa na muonekano wa mfano wa zawadi za santa’’. Alisema Sabrina.

Ili uweze kucheza na kufurahia michezo hii utahitaji kuingia kwenye tovuti ya Sportpesa.co.tz au kwa kutumia app yetu ya Sportpesa Kasino na utaikuta michezo hiyo. Utaweza kucheza kwa kuanzia na dau la Sh 50 na kundelea kulingana na uwezo wako.

Share this:
Back To Top