HOROYA AC vs VIPER’S -MECHI YA HESHIMA
HOROYA AC ya nchini Guinea na Vipers ya Uganda zinatarajiwa kuvaana siku ya kesho, Ijumaa, Tarehe 31, Machi 2023, katika mchezo wa mwisho wa hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo wa kesho, unatafsiriwa kama wa kukamilisha ratiba,…