AFCON 2025: Matokeo, hawa hapa wafungaji bora kabla ya Ratiba ya 16 bora, Feisal na Msuva wamo?
Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), yanazidi kunoga nchini Morocco. Mashindano hayo yameingia raundi ya pili 16 bora (Round of 16). Mashindano haya yamekuwa na msisimko mkubwa,…
