Clatous Chama kiungo wa Yanga SC kusaini Zesco United | Mkataba umeisha | Simba SC yatajwa
Clatous Chama kiungo wa Yanga SC kusaini Zesco United ya Zambia.Tetesi zinaeleza hivyo huku ikitajwa kuwa kuna uwezekano akarejea ndani ya Simba SC. Ikumbukwe kwamba kiungo huyo alitambulishwa Yanga SC…
