SportPesa yaipa Yanga SC Milioni 262.5: Makombe matano yatajwa
Mara baada ya kuwa na mafanikio makubwa kwa msimu wa 2024/25 wakizoa makombe matano uongozi wa Kampuni ya SportPesa yaipa Yanga SC Milioni 262.5 ambazo ni sehemu ya kukamilisha takwa…
Mara baada ya kuwa na mafanikio makubwa kwa msimu wa 2024/25 wakizoa makombe matano uongozi wa Kampuni ya SportPesa yaipa Yanga SC Milioni 262.5 ambazo ni sehemu ya kukamilisha takwa…
Aishi Manula amesaini mkataba kuitumikia Azam FC akitokea Simba SC mpaka 2028. Kipa huyo alikuwa anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi hao wa Azam FC kwa muda mrefu hatimaye dili…
Moto utawaka pale Mabingwa wawili wakubwa duniani wanakutana katika Nusu Fainali ya Kombe la Dunia la Vilabu, katika mechi ya PSG vs Real Madrid Julai 9 2025 live ambao unatarajiwa…
Kuna timu tano zilikuwa na maajabu ya sabasaba kutokana na mwendo ambao walikuwa nao ndani ya ligi. Wakati Tanzania Julai 7 ikiwa ni maadhimisho ya Sikukuu ya Sabasaba zipo timu…
Hofu na huzuni zimetanda mitaa ya Mbagala, Dar es Salaam, baada ya kutolewa taarifa za kifo cha baba wa mshambuliaji wa timu ya taifa, Taifa Stars, Mbwana Samatta, huku familia…
Aziz Ki kiungo mshambuliaji wa Wydad Casablanca atarejea ndani ya Yanga SC ikiwa atapewa Thank You ndani ya Wydad Casablanca. Kiungo huyo alipata dili la kujiunga na Wydad Casablanca ya…
Dickson Job kusaini mkataba mpya Yanga SC kutokana na kiwango alichonacho. Job alijiunga na Yanga SC Januari 11 2021 akitokea Klabu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro. 2022/23 alitwaa tuzo ya…
Huku uongozi wa Yanga ukiweka wazimpango wao wa kupeleka makombe yao ya ubingwa mbele ya Rais Dkt. Samia Suluhu, sasa kabla ya Ikulu makombe 5 ya Yanga yatua mjengoni SportPesa…
Habari kubwa kwenye tasnia ya michezo ni Tanzia juu ya kifo cha mastaa wawili wa timu ya Taifa ya Ureno, Diogo Jota na mdogo wake Andre Silva. Wawili hao wamefariki…