SIMBA KUUWASHA MOTO ZANZIBAR LEO JUMATANO 24/4/2024
LEO Jumatano kikosi cha Simba kinatarajiwa kushuka uwanjani kuvaana na kikosi cha KVZ katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya michuano mipya ya Kombe la Muungano. Mchezo huo unatarajiwa…
LEO Jumatano kikosi cha Simba kinatarajiwa kushuka uwanjani kuvaana na kikosi cha KVZ katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya michuano mipya ya Kombe la Muungano. Mchezo huo unatarajiwa…
TAARIFA kutoka vyanzo vya habari nchini Misri vimeripoti kuwa klabu ya Pyramids inajiandaa kuwasilisha ofa mezani kwa kiungo wa Yanga, Stephane Aziz Ki. Aziz Ki ambaye mkataba wake wa awali…
MOTO utawaka kwa dakika 90 leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam ambapo Yanga wanaobebwa na udhamini mnono wa Kampuni ya michezo ya SportPesa wanatarajia kushuka Uwanjani kuikaribisha…
KIKOSI cha Simba tayari kimewasili na kuanza rasmi mazoezi kwenye kambi yao fupi visiwani Zanzibar kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga. MOTO KUWAKA…
Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha hatimaye amefunguka mazito kuhusu kikosi chake kuonekana kupoteza muelekeo ambapo ameweka wazi kuwa changamoto kubwa ya kikosi chake ni kwa sasa ni wachezaji wake kushindwa kumalizia…
BENCHIKHA Abdelhak, kocha mkuu Simba kufuatia kufungashiwa virago kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, amefunguka mazito kuhusu sababu ambazo zimepelekea waondoshwe kwenye mashindano. Benchikha amesema hayo muda mfupi baada…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga ambao wanadhaminiwa na Kampuni ya SportPesa wameendelea kuteka mijadala mikubwa huko nchini Afrika Kusini ambapo achana na ishu ya mchezo wao wa leo…
MSAFARA wa kikosi cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga umetua rasmi nchini Afrika Kusini leo Jumanne kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wao dhidi ya Mamelodi…
MASTAA wanne wa kimataifa akiwemo Muivory Coast, Pacome Zouzoua na pacha wake Aziz Ki Stephanie rasmi kesho Jumatano wanatarajia kutua nchini na kujiunga na kikosi cha Yanga kujiandaa na mchezo…