FT Azam FC 1-2 Al Ahli Tripoli | CAF Confederation Cup 2026/27 highlights, livescore, Ratiba, matokeo na taarifa za mechi
- Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika imeanza kwa kishindo, ambapo mchezo mkali umepigwa Tanzania na matokeo FT ni Azam 1-2 Al Ahli Tripoli.
- Mechi hii imepigwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
- Ni mabao ya H. Houni na M. Lafi na Z. Serali ndiyo yaliyoamua mchezo huo.
- Fuatilia matokeo ya mchezo huu moja kwa mopja kupitia SportPesascore.
Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika yameanza kwa kishindo, ambapo mchezo mkali umepigwa Tanzania na matokeo FT ni Azam 1-2 Al Ahli Tripoli. Mechi hii imepigwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Ni mabao ya H. Houni na M. Lafi na Z. Serali ndiyo yaliyoamua mchezo huo.
Kipindi cha kwanza Azam 1-2 Al Ahli Tripoli

Mchezo ulianza kwa kasi kubwa huku wenyeji wakipambana kutengeneza nafasi za kufunga mabao, na wageni wakianza kwa kuwasoma Azam FC. Dakika ya 9 ya mchezo H. Houni aliipa bao la uongozi Al Hilal baada ya safu ya ulinzi ya Azam kufanya makosa. Baada ya bao hilo wageni waliongeza kasi na kupata bao la pili kupitia kwa M. Lafi akimzidi ujanza kipa Aishi Manula. Huku mchezo ukionekana kwenda mapumziko 2-0, Azam FC walifanya shambulizi kali kupitia kwa Kipre Junior ambalo kipa wa Al Ahli Tripoli aliliokoa na mpira kumkuta Zidane Sereri aliyefunga bao dakika ya 43.
SOMA HII PIA: Azam FC Hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika 2026/27 | SportPesa Blog
Kipindi cha pili Azam FC 1-2 Al; Ahli Tripoli

Licha ya jitihada za hapa na pale la kini matokeo yalisalia kuwa Azam FC 1-2 AL Ahli Tripoli. Dakika ya 60 Maruwan Alhibeeshi alionyeshwa kadi ya njano kwa mchezo usiokuwa wa kiungwana. Kipyenga cha mwamuzi kilipopulizwa kiliashiria kuanza kwa pigo kubwa kwa Azam FC.
Shinda mpaka Milioni 800 sasa, cheza kindege ‘aviator’ kindege ch SportPesa

Hitimisho
Azam 1-2 Al Ahli Tripoli ni matokeo ya kuhuzunisha situ kwa Azam, bali Watanzania wote kwa ujumla. Kipindi cha pili Azam wana kazi kubwa ya kufanya kupindua matokeo. Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa taarifa zaidi za michezo na burudani.

