Azam FC 1-2 Al Ahli Tripoli | CAF Confederation Cup 2026/27 highlights, livescore, Ratiba, matokeo na taarifa za mechi
- Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika imeanza, ambapo mchezo mkali unapigwa Tanzania ambapo matokeo ni Azam 1-2 Al Ahli Tripoli baada ya dakika 45 za kwanza.
- Mechi hii inapigwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
- Ni mabao ya H. Houni na M. Lafi na Z. Serali ndiyo yaliyoamua kipindi cha kwanza.
- Fuatilia matokeo ya mchezo huu moja kwa mopja kupitia SportPesascore.
Kombe la Shirikisho hatua ya Makundi imeanza, ambapo mchezo mkali unapigwa Tanzania na mpaka sasa matokeo ni Azam 1-2 Al Ahli Tripoli baada ya dakika 45 za kwanza. Mechi hii inapigwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Ni mabao ya H. Houni na M. Lafi wa Al Ahli Tripoli na Z. Serali wa Azam ndiyo yaliyoamua kipindi cha kwanza.
SOMA HII: Azam FC Hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika 2026/27 | SportPesa Blog
Kipindi cha kwanza Azam 1-2 Al Ahli Tripoli

Mchezo ulianza kwa kasi kubwa huku wenyeji wakipambana kutengeneza nafasi za kufunga mabao, na wageni wakianza kwa kuwasoma Azam FC. Dakika ya 9 ya mchezo H. Houni aliipa bao la uongozi Al Hilal baada ya safu ya ulinzi ya Azam kufanya makosa. Baada ya bao hilo wageni waliongeza kasi na kupata bao la pili kupitia kwa M. Lafi akimzidi ujanza kipa Aishi Manula. Huku mchezo ukionekana kwenda mapumziko 2-0, Azam FC walifanya shambulizi kali kupitia kwa Kipre Junior ambalo kipa wa Al Ahli Tripoli aliliokoa na mpira kumkuta Zidane Sereri aliyefunga bao dakika ya 43.
Shinda mpaka Milioni 800 sasa, cheza kindege ‘aviator’

Hitimisho
Azam 1-2 Al Ahli Tripoli ni matokeo ya kuhuzunisha situ kwa Azam, bali Watanzania wote kwa ujumla. Kipindi cha pili Azam wana kazi kubwa ya kufanya kupindua matokeo. Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa taarifa zaidi za michezo na burudani.

