Kagera Sugar 1-1 TRA United NBC Premier LeagueYassin SalehYassin Saleh

Kagera Sugar 1-1 TRA United NBC Premier League
Geita Gold 2-1 Mashujaa FC, NBC Premier League

Kagera Sugar 1-1 TRA United NBC Premier League | Geita Gold 2-1 Mashujaa FC | Msimamo

  • Jumapili, Novemba 22,2026 Kagera Sugar 1-1 TRA United NBC Premier League 2026/27.
  • Pambano limepigwa Uwanja wa Kaitaba, Yassin Saleh Man of The Match alifungua ukurasa wa mabao dakika ya 42 na Amy Mapaka alisawazisha dakika ya 57.
  • Geita Gold 2-1 Mashujaa FC matokeo ya mchezo mwingine.

FT: Kagera Sugar 1-1 TRA United NBC Premier League 22/11/2026.Yamefungwa mabao mawili wababe hawa wakigawana pointi mojamoja. Yassin Saleh dakika ya 42 alifunga kwa Kagera Sugar na Amy Mapaka alisawazisha dakika ya 57 pambano hili lilipigwa Uwanja wa Kaitaba,Kagera.

SOMA HII PIA:Kagera Sugar 1-1 TRA United NBC Premier League 22/11/2026 | Highlights | SportPesa Blog

Je, unataka kushinda mamilioni? Unaweza kushinda mpaka Shilingi Milioni 800 na SportPesa

Wengi tayari wamevuna mamilioni kupitia mchezo wa Kindege yaani ‘Aviator’ ya SportPesa. Wewe unasubiri nini? Nafasi ni yako cheza Aviator na kushinda mpaka Shilingi Milioni 800 sasa kwa kubonyeza picha hii chini.

image
 

Msimamo wa NBC Premier League

Licha ya ubao kusoma Kagera Sugar 1-1 TRA United NBC Premier League bado wenyeji wamesalia wakiburuza mkia.Yassin Saleh ambaye alichaguliwa kuwa Man of The Match amebainisha kuwa yalikuwa matokeo ambayo hawakutarajia.Malengo makubwa ilikuwa ni kupata ushindi kujinasua kutoka nafasi ya mwisho.

Kagera Sugar 1-1 TRA United NBC Premier League
Msimamo wa NBC Premier League

Geita Gold 2-1 Mashujaa FC

Pambano lingine kali lilipigwa Uwanja wa Bukombe ubao ukisoma Geita Gold 2-1 Mashujaa FC. Mabao ya Fabrice Ngoy dakika ya 46 na Amaund Noah dakika ya 88 yalitosha kubakisha pointi 3 nyumbani.Mudathir Vuai alifunga bao dakika ya 43 kwa Mashujaa FC.

Sebastian Noah alichaguliwa kuwa Man of The Match.Huyu ni nyota kutoka kwa wachimba dhahabu.Pointi tatu zilibaki nyumbani baada ya mchezo kukamilika.

SOMA HII PIA:Polisi Tanzania FC vs Yanga SC NBC Premier League | Live score | Wachezaji hatari | msimamo

Hitimisho

Kagera Sugar 1-1 TRA United NBC Premier League matokeo rasmi baada ya pambano la kukata na shoka.Kila timu kwa sasa inaendelea kupambana kupata pointi 3.Vinara wa ligi Simba SC walipata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya JKT Tanzania wakiwa na pointi 33 wanavutana shati na mabingwa watetezi Yanga SC walio nafasi ya 2 na pointi 28 waliopata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Polisi Tanzania.

Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa uchambuzi zaidi wa Ligi Kuu Bara na habari zote za michezo nchini Tanzania. Cheza na ushinde na SportPesa!

Share this: