Polisi Tanzania FC vs Yanga SC NBC Premier League | Live score | Wachezaji hatari | msimamo

ByLunyamadizo Mlyuka

November 19, 2026
Polisi Tanzania FC vs Yanga SC NBC Premier LeagueJabir AnuaryJabir Anuary
  • Ijumaa, 20/11/2026 ni Polisi Tanzania FC vs Yanga SC NBC Premier League Uwanja wa Ushirika, Moshi.
  • Kwa habari za papohapo za Polisi Tanzania FC vs Yanga SC fuatilia SportPesa Blog, huku SP Score ikikuandalia livescores.
  • Polisi Tanzania FC kwenye msimamo nafasi ya 6 inakutana na Yanga SC iliyo nafasi ya 2 kwenye msimamo wa ligi.
Polisi Tanzania FC vs Yanga SC NBC Premier League
Clement Mzize mshambuliaji wa Yanga SC

Wanakutana Polisi Tanzania FC vs Yanga SC NBC Premier League 20/11/2026.Mchezo huu utapigwa Uwanja wa Ushirika, Moshi saa 10:00 jioni saa za Afrika Mashariki.Utakuwa ni mtihani wa kwanza kwa Kocha Mkuu wa Yanga SC, Fadlu Davids 2026/27.

SOMA HII PIA:Polisi Tanzania vs Yanga SC: NBC Premier League, Live Score, Matokeo, Ratiba, h2h, Habari za timu

Je, unataka kushinda mamilioni? Unaweza kushinda mpaka Shilingi Milioni 800 na SportPesa

Wengi tayari wamevuna mamilioni kupitia mchezo wa Kindege yaani ‘Aviator’ ya SportPesa. Wewe unasubiri nini? Nafasi ni yako cheza Aviator na kushinda mpaka Shilingi Milioni 800 sasa kwa kubonyeza picha hii chini.

image

Taarifa muhimu Polisi Tanzania FC vs Yanga SC NBC Premier Leageu 2026/27

KipengeleMaelezo
MashindanoNBC Premier League
MchezoPolisi Tanzania vs Yanga SC
UwanjaUshirika, Moshi
Tarehe20/11/2026
Timu mwenyejiPolisi Tanzania

H2H Polisi Tanzania FC vs Yanga SC

17/12/2022, Yanga SC 3-0 Polisi Tanzania

16/08/2022, Polisi Tanzania 1-2 Yanga SC

22/06/2022, Yanga SC 2-0 Polisi Tanzania

23/01/2022, Polisi Tanzania FC 0-1 Yanga SC

Utabiri

Fomu ambayo wapo nayo Yanga SC 2026/27 imekuwa katika ubora.Katika mechi 10 imeshinda 8, sare 1 na ikipoteza mchezo mmoja.Wenyeji Polisi Tanzania katika mechi 11 wamepata ushindi mechi 4, kupoteza 4 wakiwa na sare 3.Kutokana na mwendo huu, wageni wanapewa chepuo kupata ushindi kwenye mchezo.

Yanga SC iliyo nafasi ya pili kweye msimamo na pointi 25 inanolewa na kocha mpya Fadlu.Kila mchezaji atakayepewa nafasi malengo itakuwa kuonyesha uwezo kwa kujituma.Polisi Tanzania FC ipo nafasi ya 6 sio timu yakubeza.

Matokeo Polisi Tanzania 0-2 Yanga SC.Haya ni maoni ya mhariri, matokeo rasmi yatapatikana baada ya dakika 90.

SOMA HII PIA:Polisi Tanzania vs Yanga SC | Azam FC vs Singida Black Stars | NBC Premier 20/11/2026

Wachezaji hatari Polisi Tanzania FC vs Yanga SC

Anuary Jabir huyu ni kinara wa ufungaji ndani ya NBC Premier League amefunga 7.Uwepo wake ndani ya kikosi cha Polisi Tanzania umekuwa ni imara.Ni chaguo la kwanza la benchi la ufundi anajua kufunga na kutoa asisti ni mchezaji hatari.

Clement Mzize mshambuliaji wa Yanga SC amerejea uwanjani.Katika eneo la ushambuliaji huyu ni miongoni mwa wachezaji hatari,Mabeki wa Polisi Tanzania FC watakuwa na kazi kumzuia kwenye kulitafuta lango uwanjani.

Hitimisho

Mchezo wa Polisi Tanzania vs Yanga SC ni mwendelezo wa NBC Premier League iliyosimama kwa muda kutokana na mapumziko ya FIFA.Mabingwa watetezi watakuwa ugenini kusaka pointi 3 dhidi ya Polisi Tanzania FC.Wababe hawa watakuwa kazini kusaka pointi 3 muhimu.

Share this: