JKT Tanzania vs Simba SC NBC Premier LeagueShomar KapombeShomar Kapombe
  • Wanakutana JKT Tanzania vs Simba SC NBC Premier League, 20/11/2026, Uwanja wa Mej.Jen.Isahmuyo.
  • H2H katika mechi 12 zilizopita Simba SC imepata ushindi mechi 11 na JKT Tanzania ikishinda mchezo mmoja
  • Kwa habari za papohapo za JKT Tanzania vs Simba SC fuatilia SportPesa Blog, huku SP Score ikikuandalia livescores.

Ni JKT Tanzania vs Simba SC NBC Premier League 21/11/2026, Uwanja wa Meja.Jen.Isahmuyo.Kikosi rasmi cha wenyeji langoni ameanza Ramadhan Chalamanda.Shomari Kapombe beki mkongwe amerejea kikosi cha kwanza unyamani.

SOMA HII PIA:JKT Tanzania vs Simba SC | Pamba Jiji FC vs Coastal Union | Live score | SportPesa Blog

Shinda mamilioni sasa hivi ukipaisha Kindege cha SportPesa

Una nafasi yakushinda mamilioni sasa hivi ukipaisha Kindege cha SportPesa. Rubani makini anapaa angani akiwa na uhakika. Mwanzo wa wiki muda sahihi kuvuna mamilioni. Bofya hapa chini ushinde sasa hivi.

image

Taarifa muhimu JKT Tanzania vs Simba SC

Kabla ya pambano hili kali JKT Tanzania vs Simba SC kuanza Kocha Mkuu, Steve Barker amekabidhiwa tuzo ya kocha bora mwezi Oktoba.Elie Mpanzu naye amepokea tuzo ya mchezaji bora Oktoba.Huu ni mchezo wa 11 kwa vinara kushuka uwanjani wakiwa na pointi 30 hawajapoteza bado mchezo.

Kikosi cha JKT Tanzania vs Simba SC

Kikosi cha kwanza:Ramadhan Chalamanda, Najim Maguru, Hassan Kapalata, Sospeter Bajana, Khatibu Kombo, Salum Khamis, Hassan Nassor, Pascal Mussa, Said Mkopi, Paul Peter na Francisco Mabula.

Wachezaji wa akiba ni Karimu Mfaume, Ismail Mhesa, Mohamed Bakari, Mohamemedy Hassan, Geofrey Julius, Laurian Makame, Malimi, Chikola, Ally Msengi, Samwel.

Kikosi cha Simba SC vs JKT Tanzania

Kikosi cha kwanza: Mahamadou Kassali, Libase Gueye, Anthony Mligo, Rushine De Reuck, Clatous Chama, Ibraheem Jabaar., Shomari Kapombe, Yusuph Kagoma, Neo Maema, Elie Mpanzu,Anicet Oura.

Wachezaji wa akiba Kibabage, Morice,Bakari Seleman, Maletso Makgalwa,Duchu, Masinde,Semfuko, Alexander,Doumbia na Ismail Mgunda.

SOMA HII PIA:JKT Tanzania 1-2 Simba SC NBC Premier League 2025/26/ Highlights, goal

H2H JKT Tanzania vs Simba SC

Kuanzia 2018-2026 wababe hawa wamekutana katika mechi 12.Ushindi kwa Simba SC ni mechi 11 na ushindi kwa JKT Tanzania ni mechi 1.Hakuna sare iliyopatikana kwa wababe hawa katika mechi zilizopita.

Share this: