FT:JKT Tanzania 1-2 Simba SC NBC Premier League 2026/27 | Highlights | H2H | Live score | SportPesa Blog

ByLunyamadizo Mlyuka

November 21, 2026
FT:JKT Tanzania 1-2 Simba SC NBCJKT Tanzania --- Simba SCJKT Tanzania --- Simba SC
  • Matokeo rasmi ni JKT Tanzania 1-2 Simba SC NBC Premier League, 20/11/2026, Uwanja wa Mej.Jen.Isahmuyo.
  • Libase Gueye moto amefunga bao la ushindi dakika ya 32 na Elie Mpanzu alifunga la kusawazisha dakika ya 20 baada ya Issa Mkpi kufunga dakika ya 10
  • Simba SC inaongoza ligi ikiwa na pointi 33, JKT Tanzania nafasi ya 5 ina pointi 17.
  • Kwa habari za papohapo za ligi fuatilia SportPesa Blog, huku SP Score ikikuandalia livescores.

JKT Tanzania 1-2 Simba SC matokeo rasmi ya mchezo uliochezwa Uwanja wa Meja.Jen.Isahmuyo 21/11/2026.Issa Mkopi alianza kufunga bao la uongozi kwa JKT Tanzania dakika ya 10.Simba SC wamefunga dakika ya 20 kupitia kwa Elie Mpanzu dakika ya 20 na bao la ushindi likifungwa na Libase Gueye dakika ya 32 akitumia pasi ya Mpanzu.Steve Barker Kocha Mkuu wa Simba SC anafikisha mchezo wa 11 akiwa unbeaten.

FT:JKT Tanzania 1-2 Simba SC NBC
Doumbia vs JKT Tanzania

SOMA HII PIA:HT:JKT Tanzania 1-2 Simba SC Uwanja wa Jen.Mej.Isahmuyo | SportPesa Blog

Shinda mamilioni sasa hivi ukipaisha Kindege cha SportPesa

Una nafasi yakushinda mamilioni sasa hivi ukipaisha Kindege cha SportPesa. Rubani makini anapaa angani akiwa na uhakika. Mwanzo wa wiki muda sahihi kuvuna mamilioni. Bofya hapa chini ushinde sasa hivi.

image
Win big with Sportpesa Aviator

JKT Tanzania 1-2 Simba SC takwimu

Pointi tatu zimeondoka baada ya wenyeji kupokea kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Simba SC.Mnyama anafikisha pointi 33 nafasi ya kwanza kwenye msimamo.JKT Tanzania pointi 17 nafasi ya 5.Ni pambano lililokuwa na presha kubwa huku JKT Tanzania wakicheza jumla ya faulo 26 na Simba SC wakicheza faulo 8.


Kipengele
JKT TanzaniaSimba SC
Mabao12
Mashuti146
Mashuti yaliyolenga lango33
Umiliki46%54%
Pasi262344

H2H JKT Tanzania vs Simba SC

Wababe hawa wamekutana mara 13 katika mechi za NBC Premier League.Hii ni rekodi ya 2018-16.Mnyama amepata ushindi mechi 12 huku JKT Tanzania akipata ushindi mchezo mmoja.Hakuna sare iliyopatikana hivi karibuni.

SOMA HII PIA:JKT Tanzania 1-2 Simba SC NBC Premier League 2025/26/ Highlights, goal

Hitimisho

Katika pambano lililokamilika kwa JKT Tanzania 1-2 JKT Tanzania, Mkopi mfungaji wa bao la uongozi alitumia dakika zote 90 akiwa kwenye ubora.Elie Mpanzu alihusika katika mabao mawili akifunga bao moja na kutoa asisti 1.Libase alihusika katika mabao mawili akifunga bao 1 na asisti 1 ni kinara eneo la pasi za mwisho akiwa nazo 8 na amefunga jumla mabao 3.

Share this: