- Live: JKT Tanzania 1-2 Simba SC, NBC Premier League 21/11/2026
- Issa Mkopi amefunga bao la uongozi, Elie Mpanzu alisawazisha na Libase Gueye akifunga bao la pili kwa mnyama.
- Kwa habari za papohapo za JKT Tanzania vs Simba SC fuatilia SportPesa Blog, huku SP Score ikikuandalia livescores.
JKT Tanzania 1-2 Simba SC, Uwanja wa Meja.Jen.Isahmuyo dakika 45.Issa Mkopi alianza kufunga bao la uongozi kwa JKT Tanzania dakika ya 10, Simba SC wakafunga bao la usawa dakika ya 20 kupitia kwa Elie Mpanzu dakika ya 20.Libase Gueye amefunga bao la pili dakika ya 32 akitumia pasi ya Mpanzu.
SOMA HII PIA:JKT Tanzania vs Simba SC | Pamba Jiji FC vs Coastal Union | Live score | SportPesa Blog
Shinda mamilioni sasa hivi ukipaisha Kindege cha SportPesa
Una nafasi yakushinda mamilioni sasa hivi ukipaisha Kindege cha SportPesa. Rubani makini anapaa angani akiwa na uhakika. Mwanzo wa wiki muda sahihi kuvuna mamilioni. Bofya hapa chini ushinde sasa hivi.

Takwimu za JKT Tanzania 1-2 Simba SC dakika 45 za mwanzo
| Kipengele | JKT Tanzania | Simba SC |
| Mabao | 1 | 2 |
| Mashuti | 4 | 4 |
| Mashuti yaliyolenga lango | 3 | 2 |
| Umiliki | 47% | 53% |
| Pasi | 176 | 214 |

