FT:Polisi Tanzania 0-2 Yanga SC NBC Premier League 2026/27 | H2H | Highlights

ByLunyamadizo Mlyuka

November 20, 2026
Polisi Tanzania 0-2 Yanga SCFTFT
  • Matokeo kamili ni Polisi Tanzania 0-2 Yanga SC NBC Premier League, Uwanja wa Ushirika, Moshi.
  • Cheikh Toure na Peter Shalulile wamefunga mabao ya ushindi katika pambano la kukata na shoka 20/11/2026
  • Yanga SC ipo nafasi ya pili kwenye msimamo huku Polisi Tanzania ikiwa nafasi ya 8 kwenye msimamo wa ligi

Polisi Tanzania 0-2 Yanga SC haya ni matokeo rasmi kwenye mchezo wa NBC Premier League.Akiwa kwenye benchi la ufundi Fadlu Davids ameanza kwa kupata ushindi ugenini. Mabao yamefungwa na Cheikh Toure dakika ya 30 na Peter Shalulile dakika ya 75.

SOMA HII PIA:HT:Polisi Tanzania 0-1 Yanga SC NBC Premier League 2026/27 | Lineups | SportPesa Blog

Je, unataka kushinda mamilioni? Unaweza kushinda mpaka Shilingi Milioni 800 na SportPesa

Wengi tayari wamevuna mamilioni kupitia mchezo wa Kindege yaani ‘Aviator’ ya SportPesa. Wewe unasubiri nini? Nafasi ni yako cheza Aviator na kushinda mpaka Shilingi Milioni 800 sasa kwa kubonyeza picha hii chini.

image
Win big with Aviator

Taarifa muhimu Polisi Tanzania 0-2 Yanga SC

KipengeleMaelezo
MashindanoNBC Premier League
MatokeoPolisi Tanzania 0-2 Yanga SC
UwanjaUshirika, Moshi
Tarehe20/11/2026
Timu mwenyejiPolisi Tanzania

H2H Polisi Tanzania vs Yanga SC

20/11/2026, Polisi Tanzania 0-2 Yanga SC

17/12/2022, Yanga SC 3-0 Polisi Tanzania

16/08/2022, Polisi Tanzania 1-2 Yanga SC

22/06/2022, Yanga SC 2-0 Polisi Tanzania

23/01/2022, Polisi Tanzania FC 0-1 Yanga SC

SOMA HII PIA:Polisi Tanzania FC vs Yanga SC NBC Premier League | Live score | Wachezaji hatari | msimamo

Hitimisho

Matokeo ya pambano la NBC Premier League ni Polisi Tanzania 0-2 Yanga SC. Peter Shalulile akitokea benchi amefunga bao moja akifikisha mabao 7 ndani ya ligi.Ni rekodi ya kwanza kwa kocha mpya Fadlu Davids ndani ya kikosi cha Yanga SC.

Share this: