
NBC Premier League: Polisi Tanzania vs Yanga SC, Azam FC vs Singida Black Stars – Ratiba na Matokeo
- Kivumbi cha NBC Premier League ratiba na matokeo ya mechi za hivi karibuni tumekuletea hapa ikiwemo mchezo mkali kati ya Polisi Tanzania FC vs Yanga SC.
- Kwa habari za papohapo za Polisi Tanzania FC vs Yanga SC fuatilia SportPesa Blog, huku SP Score ikikuandalia livescores.
- Azam FC vs Singida Black Stars na Namungo FC vs Mbeya City ni mechi kali 20/11/2026.
Hapa tumekuletea NBC Premier League ratiba na matokeo ya mechi kali ambapo wiki hii inashuhudia michezo mitatu mikubwa inayovutia hisia za mashabiki wengi. Polisi Tanzania watakuwa nyumbani kuwakaribisha Yanga SC huku Azam FC wakiwaalika Singida Black Stars na Azam FC vs Singida Black Stars.
Hapa tumekuletea uchambuzi wa kina wa mechi hizi, ratiba, na matokeo ya hivi karibuni yanayoathiri msimamo wa ligi.
SOMA HII PIA:NBC Premier League table 2025/26
Je, unataka kushinda mamilioni? Unaweza kushinda mpaka Shilingi Milioni 800 na SportPesa
Wengi tayari wamevuna mamilioni kupitia mchezo wa Kindege yaani ‘Aviator’ ya SportPesa. Wewe unasubiri nini? Nafasi ni yako cheza Aviator na kushinda mpaka Shilingi Milioni 800 sasa kwa kubonyeza picha hii chini.

Polisi Tanzania vs Yanga SC: Mchezo wa kusisimua Moshi
Mchezo kati ya Polisi Tanzania vs Yanga SC unatarajiwa kuwa na upinzani mkali. Polisi Tanzania wanahitaji pointi tatu muhimu kuendelea ubora, huku Yanga SC wakipambana kuendeleza rekodi yao ya ushindi wakiwa ni mabingwa watetezi.
Mechi hii itapigwa Novemba 20, 2026, katika Uwanja wa Ushirika, Moshi. Yanga SC wamekuwa na mwanzo mzuri wa msimu, wakionyesha uwezo mkubwa wa kushambulia na kujilinda. Polisi Tanzania watalazimika kucheza kwa tahadhari kubwa na kutumia vyema nafasi watakazopata.
Namungo FC vs Mbeya City
Uwanja wa Majaliwa utashuhudia pambano kali Namungo FC vs Mbeya City.Juma Mgunda atawaongoza vijana wake kupambana mbele ya wababe kutoka Mbeya.Itakumbukwa kwamba mchezo uliopita wenyeji walipoteza kwa kufungwa mabao 3-2 dhidi ya Simba SC.
Azam FC vs Singida Black Stars
Azam FC watakuwa wenyeji wa Singida Black Stars katika mchezo mwingine muhimu wa NBC Premier League. Azam FC wanatafuta kuendeleza kasi yao na kupunguza pengo la pointi na timu za juu, huku Singida Black Stars wakijaribu kuonyesha uwezo wao dhidi ya vigogo wa ligi.
Mchezo huu pia utafanyika Novemba 20, 2026. Singida Black Stars wameonyesha uwezo wa kushangaza msimu huu, na wanaweza kuwa tishio kwa Azam FC ikiwa watacheza kwa nidhamu na kujituma.Pambano hili litapigwa Uwanja wa Azam Complex, saa 3:00 usiku.
Matokeo ya hivi karibuni ya NBC Premier League
Matokeo ya hivi karibuni Yanga SC 4-0 Kagera Sugar, Uwanja wa KMC Complex, Novemba Mosi.
Simba SC 3-2 Namungo FC, Novemba 2,2026, Uwanja wa Uhuru.
Mbeya City 1-0 Singida Black Stars, Uwanja wa Sokoine, Mbeya, Novemba 3,2026
JKT Tanzania 1-2 Azam FC, Oktoba 31,2026, Uwanja wa Meja.Jen.Isahmuyo.
SOMA HII PIA:Polisi Tanzania FC vs Yanga SC NBC Premier League | Live score | Wachezaji hatari | msimamo
Hitimisho
Michezo ya NBC Premier League inaendelea kutoa burudani na upinzani mkali. Mashabiki wanatarajia kuona kandanda safi na matokeo ya kusisimua kutoka kwa timu zao pendwa. Endelea kufuatilia SportPesa kwa taarifa zaidi na uchambuzi wa kina wa ligi hii.

