Simba SC 1-0 Mashujaa FC Friendly Match 14|11|2026 | Elie Mpanzu goal | SportPesa Blog

ByLunyamadizo Mlyuka

November 14, 2026
Simba SC 1-0 Mashujaa FCSimba SC vs Mashujaa FCSimba SC vs Mashujaa FC
  • Kwenye mchezo wa kirafika matokeo rasmi ni Simba SC 1-0 Mashujaa FC pambano ambalo lilikuwa na ushindani mkubwa.
  • Bao la ushindi katika mchezo limefungwa na Elie Mpanzu ambaye ana tuzo ya mchezaji bora wa NBC Premier League
  • Hii itakuwa Makala ya 72 ya UEFA Champions League tangu kuanzishwa kwake., huku pia ikiwa ni msimu wa 3 tangu kuanza rasmi kwa mfumo wa ligi.
Simba SC vs Mashujaa FC
Doumbia na Mashujaa

Ni Simba SC 1-0 Mashujaa FC haya ni matokeo rasmi kwenye mchezo wa kirafiki.Wababe hawa wamekutana 14/11/2026 katika viwanja vya Simba Mo Arena, Dar. Bao pekee la ushindi limefungwa na Elie Mpanzu.Ibrahim Doumbia, Rushine ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa katika kikosi cha mnyama.

SOMA HII HAPA:Simba SC 6-1 Mashujaa FC NBC Premier League | Highlights | Ellie Mpanzu

Je, Unataka kushinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa

Ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege kupitia kampuni bora ya kubashiri ya SportPesa. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Simba SC 1-0 Mashujaa FC taarifa

KipengeleMaelezo
MashindanoMechi ya kirafiki
MatokeoSimba SC 1-0 Mashujaa FC
MfungajiElie Mpanzu
Tarehe14/11/2026
Timu mwenyejiSimba SC

Beki kisiki arejea uwanjani

Baada ya kuwa nje kwa muda mrefu tangu mwanzo wa msimu wa 2024/25 hatimaye beki kisiki Hamza Jr amerejea.Beki huyo alipata maumivu kwenye mchezo dhidi ya Yanga SC.Katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Mashujaa FC alirejea uwanjani kwa mara ya kwanza.

Kurejea kwake kwenye mechi za ushindani kunaongeza nguvu eneo la ulinzi.Hivyo Steve Barker, Kocha Mkuu wa Simba SC atakuwa na machaguo mengi kikosi cha kwanza.Hamza Jr ataungana na Rushine, Ismail kwenye eneo la ulinzi.Mbali na Hamza Jr, Shomari Kapombe nahodha alikuwa sehemu ya mchezo wa leo.

SOMA HII HAPA PIA:Simba SC 2-0 Mashujaa FC Ligi Kuu Bara NBC: Mnyama afufuka! Highlits,Matokeo, Ratiba

Hitimisho

Simba SC 1-0 Mashujaa FC ni maandalizi ya mechi zinazofuata kitaifa na kimataifa.Mchezo ujao kwa Simba SC kwenye ligi unatarajiwa kuchezwa Novemba 21,2026. JKT Tanzania vs Simba SC ni ratiba inayofuata kwenye ligi ya NBC Premier League.

Share this: