Nigeria 3-1 TanzaniaNigeria --- TanzaniaNigeria --- Tanzania
  • FT:Nigeria 3-1 Tanzania mchezo wa kuwania kufuzu AFCON 2027 umechezwa 13/11/2026.
  • Bao pekee la Taifa Stars limefungwa na Alphonce Mabula Msanga dakika ya 32 katika kipindi cha kwanza kilichokamilika kwa 1-1.
  • Kwenye msimamo, Nigeria nafasi ya pili ikiwa na pointi 6, Tanzania nafasi ya 4 ina pointi moja kutoka Kundi L.

 

Nigeria 3-1 Tanzania
Nigeria vs Tanzania

Nigeria 3-1 Tanzania, Africa Cup of Nations Qualification, yamefungwa mabao 4 mara baada ya dakika 90 kukamilika.Wafungaji ni Alhassan Yusuf dakika ya pili na Tolu Arokodare alifunga dakika ya 52 na 60.Bao pekee la Tanzania inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi limefungwa na Alphonce Mabula Msanga dakika ya 32.Ikumbukwe kwamba mashindano haya yanatarajiwa kufanyika kwa ushirikiano wa nchi 3, Tanzania, Kenya na Uganda.

SOMA HII PIA:Kikosi cha Taifa Stars: Wachezaji na Nafasi Zao | SportPesa Blog

Bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa

Ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

image

Taarifa muhimu Nigeria 3-1 Tanzania

KipengeleMaelezo
Mashindano Africa Cup of Nations Qualification
Matokeo Nigeria 3-1 Tanzania,
UwanjaGodswill Akpabio
Tarehe13/11/2026
Timu mwenyejiNigeria

Takwimu

KipengeleNigeriaTanzania
Mabao31
Mashuti138
Umiliki65%35%
Mashuti yaliyolenga lango72
Kadi ya njano10
Kadi nyekundu00
Kona63

H2H Nigeria vs Tanzania Kundi L

13/11/2026.Nigeria 3-1 Tanzania

17/11/2026, Tanzania vs Nigeria

SOMA HII PIA:Taifa Stars 0-2 Guinea-Bissau AFCON 2027 | H2H | Highlights | SportPesa Blog

Hitimisho

Nigeria 3-1 Tanzania matokeo rasmi kwenye pambano kali ambalo wenyeji walitawala mchezo asilimia 100.Kwenye Kundi L, Nigeria inafikisha pointi 6 nafasi ya pili, vinara ni Guinea-Biassau wenye pointi 7, Madagascar nafasi ya 3 wakiwa na pointi 2. Tanzania imekusanya pointi moja ikiwa nafasi ya 4 baada ya mechi 3.

Share this: