Manchester United 4-4 Aston VillaMan U vs Aston VillaMan U vs Aston Villa
  • Wababe wamegawana pointi mojamoja baada ya matokeo kuwa Manchester United 4-4 Aston Villa.
  • Pambano kali limepigwa Uwanja wa Old Trafford, 08/11/2026 yakifungwa mabao 8 katika dakika 90.
  • Manchester United kwenye msimamo ipo nafasi ya 18, Aston Villa nafasi ya 10.
  • Dakika za nyongeza wenyeji walifunga mabao mawili kupitia kwa Joshua Zirkzee dakika ya 90+2 na Patrick Dorgu dakika ya 90+6 .
 Manchester United 4-4 Aston Villa
Bruno vs Aston Villa

Wamegawana pointi baada ya matokeo kuwa Manchester United 4-4 Aston Villa, mchezo wa Premier League 2026/27. Pambano limepigwa 08/11/2026 Uwanja wa Old Trafford wageni walianza kufunga kupitia kwa Allyson dakika ya kwanza alifunga bao la uongozi kwa Aston Villa, Nicolas Jackson dakika ya 4, John McGinn dakika ya 48 kwa mkwaju wa penalti na Leon Goretzka dakika ya 53.Bruno Fernandez dakika ya 16 kwa mkwaju wa penalti, Youri Tielemans dakika ya 44, Joshua Zirkzee dakika ya 90+2 na Patrick Dorgu dakika ya 90+6 mabao ya wenyeji.

SOMA HII PIA:Chelsea 2-0 Manchester United |Palmer, Rodgers waiangamiza United, Highlights, magoli, Livescore, habari za timu

Shinda mamilioni sasa hivi ukipaisha Kindege cha SportPesa

Una nafasi yakushinda mamilioni sasa hivi ukipaisha Kindege cha SportPesa. Rubani makini anapaa angani akiwa na uhakika. Mwanzo wa wiki muda sahihi kuvuna mamilioni. Bofya hapa chini ushinde sasa hivi.

Taarifa Manchester United 4-4 Aston Villa

KipengeleMaelezo
MashindanoPremier League 2026/27
MatokeoManchester United 4-4 Aston Villa,
Uwanja Old Trafford
Tarehe08/11/2026
Timu mwenyejiMan U

Wakiwa nyumbani Manchester United wamefanya comeback katika dakika za lala salama.Aston Villa walikuwa wanakaribia kuondoka na pointi 3 muhimu ugenini.Shukrani kwa Dorgu aliyefunga bao muhimu dakika ya 90+6 wakati ilipokuwa inasubiriwa filimbi ya mwamuzi.

SOMA HII PIA:Manchester United: Ratiba, kikosi, usajili na matarajio msimu wa 2026/27

Takwimu

KipengeleMan UAston Villa
Mabao44
Mashuti258
Umiliki54% 46%
Pasi467403
Kadi ya njano11
Kadi nyekundu00
Kona81

Hitimisho

Manchester United 4-4 Aston Villa yamefungwa mabao 8 ndani ya dakika 90.Pointi 13 wanafikisha Aston Villa nafasi ya 10 kwenye msimamo.Vijana wa Michael Carrick pointi 8 nafasi ya 18 kwenye msimamo 2026/27.

Share this: