
- Mbeya City 1-0 Singida Black Stars, NBC Premier League 2026/27, Uwanja wa Sokoine, Mbeya.
- Riphat Msuya mfungaji wa bao la ushindi dakika ya 23, Brighton Munthali mlinda mlango wa Mbeya City amechaguliwa kuwa Man of The Match.
- Mbeya City kwenye msimamo ipo nafasi ya 11 na pointi 11, Singida Black Stars nafasi ya 9 pointi 14 baada ya mechi 10.
Pambano kali limeisha matokeo rasmi ni Mbeya City 1-0 Singida Black Stars NBC Premier League. Uwanja wa Sokoine, Mbeya wababe hawa walikutana 03/11/2026. Bao pekee la ushindi limefungwa na Riphat Msuya dakika ya 23 ya mchezo kipindi cha kwanza lilidumu mpaka mwisho.
SOMA HII PIA:Tanzania Premier League 2026/27: Fixtures, Results, Standings and Teams
Shinda na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa hivi
Ni zamu yako kushinda na SportPesa, unaweza kushinda mamilioni sasa hivi. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kupitia Kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa bonyeza picha hii chini.

Taarifa Mbeya City 1-0 Singida Black Stars
| Kipengele | Maelezo |
| Mashindano | NBC Premier League |
| Matokeo | Mbeya City 1-0 Singida Black Stars |
| Uwanja | Sokoine, Mbeya |
| Tarehe | 03/11/2026 |
| Timu mwenyeji | Sokoine |
Mbeya City walikuwa nyumbani kwenye mchezo wa ligi.Matokeo ya mchezo wao uliopita ilikuwa Azam FC 4-0 Mbeya City.Mlinda mlango Brighton Munthali amechaguliwa kuwa Man of The Match kwa kutimiza majukumu yake vs Singida Black Stars.
Kwenye msimamo, Mbeya City inafikisha pointi 13 nafasi ya 11.Singida Black Stars nafasi ya 9 ina pointi 14 zote zimecheza mechi 10.Vinara ni Simba SC wenye pointi 30 wanafuatiwa na Yanga SC mabingwa watetezi wenye pointi 25.
Takwimu
| Kipengele | Mbeya City | Singida Black Stars |
| Mabao | 1 | 0 |
| Mashuti | 3 | 26 |
| Umiliki | 47% | 53% |
| Pasi | 178 | 257 |
| Mashuti yaliyolenga lango | 02 | 12 |
| Pasi za usahihi kwa asilimia | 52 | 59 |
| Kona | 02 | 09 |
Hitimisho
Mbeya City 1-0 Singida Black Stars pambano kali kwa wababe hawa wawili.Wageni waliongeza msako katika lango la wenyeji wakipiga mashuti 26.Uimara wa mlinda mlango, Munthali aliyeokoa hatari 7, nidhamu ya ulinzi imewapa uhakika wa pointi tatu wenyeji Mbeya City mara baada ya dakika 90 kukamilika.

