
Strasbourg 1-3 PSG : Ligue 1 2026/27 | Highlights | Msimamo
- FT:Strasbourg 1-3 PSG matokeo ya pambano la Ligue 1, Oktoba 17,2026
- Ousmane Dembele alifunga moja ya bao kwenye mchezo huo uliopigwa Stade de la Meinau,Strasbourg.
- 20 Machi 2027, PSG vs Strasbourg ni ratiba ya mzunguko wa pili wababe hawa watakutana.
Strasbourg 1-3 PSG ni matokeo rasmi kwenye mchezo wa Ligue 1 2026/27.Giovanni alipachika bao la uongozi mapema kwa wenyeji dakika ya 17.PSG walisubiri mpaka dakika ya 77 kufunga bao la usawa kupitia kwa IIIia Zabarnyi, Ousmane Dembele dakika ya 85 na Desire Doue dakika ya 90+3 walipachika bao mojamoja pale Stade de la Meinau,Strasbourg Oktoba 17,2026. Wababe hawa wanatarajiwa kukutana mzunguko wa pili 20 Machi 2027, PSG vs Strasbourg.
SOMA HII PIA:Bayern Munich 6-1 RB Leipzig: Luis Diaz afunga hat trick Bundesliga 2026/27
Shinda milioni 800 sasa, cheza kindege ‘aviator’ ya SportPesa gusa hapo chini
Kuna mamilioni yanakusubiri sasa hivi kwa kupaisha kindege.Huku kuna fedha nyingi kuliko kule hatukuongopii ni kweli kabisa.Bofya link hapa chini rubani uvune mkwanja wako:-
Strasbourg 1-3 PSG
| Kipengele | Maelezo |
| Mashindano | Ligue 1 |
| Matokeo | Strasbourg 1-3 PSG |
| Uwanja | Stade de la Meinau,Strasbourg |
| Tarehe | 17/10/2026 |
| Timu mwenyeji | Strasbourg |
Strasbourg 1-3 PSG takwimu
| Kipengele | Strasbourg | PSG |
| Mashuti | 12 | 19 |
| Mashuti yaliyolenga lango | 7 | 7 |
| Umiliki | 18% | 82% |
| Faulo | 11 | 6 |
| Kona | 3 | 6 |
| Kadi nyekundu | 0 | 0 |
| Kadi ya njano | 2 | 0 |
Msimamo
PSG inaongoza ligi baada ya mechi 7 imekusanya pointi 14, ushindi mechi 4, sare 2 ikiwa haijapoteza. Strasbourg ipo nafasi ya 14 ina pointi 7 baada ya mechi 7, ushindi 2 sare moja na kipigo 4.Le Havre wanaburuza mkia baada mechi 7 wamekusanya pointi 2, hawajapata ushindi zaidi ya kuambulia sare 2.
SOMA HII PIA:Brentford 1-2 Liverpool: Alexander Isak afunga bao la ushindi ugenini | Highlights
Hitimisho
Strasbourg 1-3 PSG ni mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa.Wageni PSG walikuwa katika ubora hasa eneo la umiliki wa mpira.Rekodi zinaonyesha kuwa ni asilimia 82 wenyeji walikuwa wanamiliki kutokana na uwezo wao wa kuwa na wachezaji wenye uzoefu.Ni 20 Machi 2027 wababe hawa watakutana kwenye msako wa pointi 3 muhimu.


