Brentford 1-2 Liverpool: Alexander Isak afunga bao la ushindi ugenini | Highlights

Brentford 1-2 LiverpoolLiverpoolLiverpool

Brentford 1-2 Liverpool
Brentford vs Liverpool

Brentford 1-2 Liverpool: Alexander Isak afunga bao la ushindi ugenini | Highlights

  • FT:Brentford 1-2 Liverpool Premier League majogoo wakiwika ugenini wakisawazisha na kufunga bao la ushindi.
  • Alexander Isak nyota wa mchezo amefunga bao la ushindi lililowapa pointi tatu muhimu wageni Uwanja wa Gtech Community
  • Yehor Yarmolyuk dakika ya 45+8 na Vitaly Janelt dakika ya 90+2 walionyeshwa kadi nyekundu kwa Brentford.

Mchezo mkali wa Ligi Kuu ya Uingereza umekamilika Oktoba 17,2026 na matokeo rasmi Brentford 1-2 Liverpool.Keane Lewis-Potter alianza kufunga kwa wenyeji dakika ya 44.Kwa Liverpool watupiaji ni Victor Munoz dakika ya 62 na Alexander Isak dakika ya 70.Nyota wawili wa Brentford walionyeshwa kadi nyekundu Yehor Yarmolyuk dakika ya 45+8 na Vitaly Janelt dakika ya 90+2.

Wageni Liverpool waliongeza mashambulizi kipindi cha pili na kufunga mabao mawili dhidi ya wapinzani wao wakiwa Uwanja wa Gtech Community. Brentford walipata pigo kutokana na adhabu ya kadi mbili nyekundu, ile ya kipindi cha kwanza na katika dakika za nyongeza kipindi cha pili.

SOMA HII PIA:Liverpool FC: Ratiba, Matokeo, Msimamo, Kikosi na Habari Mpya

Shinda milioni 800 sasa, cheza kindege ‘aviator’ ya SportPesa gusa hapo chini

Kuna mamilioni yanakusubiri sasa hivi kwa kupaisha kindege.Huku kuna fedha nyingi kuliko kule hatukuongopii ni kweli kabisa.Bofya link hapa chini rubani uvune mkwanja wako:-

image

Brentford 1-2 Liverpool takwimu

Kipengele Brentford Liverpool
Mashuti 9 22
Mashuti yaliyolenga lango 2 6
Umiliki 40% 60%
Faulo 7 13
Kona 3 10
Kadi nyekundu 2 0
Kadi ya njano 3 3

Liverpool walifunga mabao 2 kipindi cha pili

Liverpool waliongeza mashambulizi kipindi cha pili na kupindua meza dhidi ya wapinzani wao wakiwa nyumbani Uwanja wa Gtech Community. Brentford walipata pigo kutokana na adhabu ha kadi mbili za nyekundu kwa wachezaji wao.Kadi ya kipindi cha kwanza na katika dakika za nyongeza kipindi cha pili pigo jingine.

Kocha Mkuu wa Brentford Keith Andrews ameshuhudia vijana wake wamipambana nyumbani licha yakuangusha pointi.Matokeo hayo yanaifanya timu hiyo kusalia na pointi 10 nafasi ya 6.Liverpool pointi 12 nafasi ya 5 kwenye msimamo.

SOMA HII PIA:Premier League Fixtures

Hitimisho

Brentford 1-2 Liverpool matokeo yaliyowapa pointi tatu wageni katika mchezo mkali wa Premier League.Nyota Alexander Isak amefunga bao muhimu lililowapa pointi tatu muhimu Liverpool.Ni furaha kwa mashabiki wa Liverpool kupata ushindi katika mchezo mgumu.

 

 

 

Share this: