
Tusker vs Singida Black Stars ni mchezo unaofuata kwa wawakilishi wa Tanzania katika anga la kimataifa 2026/27. Wababe hawa kutoka Singida wametoka kupoteza mchezo uliopita wakiwa ugenini. Oktoba 12, 2026 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga ulisoma Coastal Union 1-0 Singida Black Stars. Baada ya mchezo huo watakuwa na kazi nyingine kimataifa.
Hapa tumekuletea mechi zinazofuata kwa Singida Black Stars ndani ya Oktoba, 2026. Timu hiyo kwenye msimamo ipo nafasi 5 ikiwa na pointi 11 baada ya mechi 8. Coastal Union ipo nafasi ya 10 ikiwa na pointi 10 baada ya mechi 8.
SOMA HII PIA: Coastal Union 1-0 Singida Black Stars: Highlights, NBC Premier League, matokeo, magoli yote, rekodi za h2h
Shinda hadi milioni 800 sasa hivi kwa kupaisha kindege
Rubani kuna mamilioni yanakusubiri sasa hivi ukipaisha kindege. Ni rahisi sana anza safari muda huu uvune mpaka milioni 800. Bofya link hii hapa:-
Tusker vs Singida Black Stars
| Kipengele | Maelezo |
| Mashindano | CAF Confideration Cup |
| Mchezo | Tusker vs Singida Black Stars |
| Uwanja | Nyayo National, Nairobi |
| Tarehe | 18/10/2026 |
| Timu mwenyeji | Tusker |
Ratiba ya mechi za Singida Black Stars
| Tarehe | Mchezo | Mashindano |
| Oktoba 18,2026 | Tusker vs Singida Black Stars | CAF Confederation Cup |
| Oktoba 23,2026 | Singida Black Stars vs TRA United | NBC Premier League |
| Oktoba 25,2026 | Singida Black Stars vs Tusker | CAF Confederation Cup |
| Oktoba 27,2026 | Pamba Jiji FC vs Singida Black Stars | NBC Premier League |
| Oktoba 31,2026 | Mbeya City vs Singida Black Stars | NBC Premier League |
Msimamo wa NBC Premier League
| Timu | Mechi | Ushindi | Sare | Pointi |
| 1. Simba SC | 7 | 7 | 0 | 21 |
| 2.Yanga SC | 7 | 6 | 0 | 18 |
| 3. Azam FC | 8 | 5 | 2 | 17 |
| 4.Mashujaa FC | 7 | 4 | 0 | 12 |
| 5.Singida Black Stars | 8 | 3 | 2 | 11 |
Singida Black Stars wapo ndani ya 5 bora NBC Premier League 2026/27. Vinara ni Simba SC chini ya Kocha Mkuu, Steve Barker wamekusanya pointi 21. Yanga SC mabingwa watetezi wapo nafasi ya pili.
SOMA HII PIA:Singida Black Stars FC: Matokeo, Ratiba na Msimamo Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2026/27)
Hitimisho
Tusker vs Singida Black Stars ni mechi ijayo kwenye ratiba kwa kila timu kusaka ushindi. Mbali na mechi za kimataifa, wababe hawa kutoka Singida wana mechi za ligi pia. Msimu wa 2026/27 ushindi ni kwenye mechi 3 pekee za ligi hivyo wanakazi kuwa imara kwa mechi zijazo kutokana na ugumu wa ratiba.


