
- Atlético Madrid vs Manchester United, UEFA Champions League saa 4:00 usiku.
- Oktoba 13,2026 wababe hawa wanatarajiwa kukutana kwenye pambano kali la kukata na shoka.
- Kocha Mkuu wa Manchester United, Michael Carrick atamkosa Luke Shaw akipambana na mbinu za Diego Simeone ambaye kikosi chake kipo kamili gado.
Ni Atlético Madrid vs Manchester United, UEFA Champions League. Mchezo huu muhimu utafanyika Oktoba 13, 2026, na unaleta pamoja timu mbili zenye historia kubwa na staili tofauti za uchezaji.Mashabiki wa soka kote ulimwenguni, na hasa Tanzania, wanatazamia kwa hamu kuona ni nani atatoka kifua mbele katika mchezo huu wa kimkakati. Atlético Madrid wanajulikana kwa ulinzi wao imara na mashambulizi ya kushtukiza, huku Manchester United wakijaribu kuonyesha ubora wao wa kushambulia.
SOMA HII PIA:2026/27 UEFA Champions League: Qualified teams, format, key dates and teams to watch
Bashiri na ushinde kupitia SportPesa
Una nafasi kushinda mkwanja mrefu kwenye mchezo wa UEFA, Atletico Madrid vs Manchester United. Suka mkeka wako kwa utulivu. Bashiri kwa uwajibikaji, bofya link hapa chini:-

Uwanja na muda wa kuanza
Mchezo huu wa Ligi ya Mabingwa Ulaya utachezwa katika Uwanja wa Riyadh Air Metropolitano. Kick-off inatarajiwa kuwa saa 10:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Habari za timu na majeraha
Diego Simeone Kocha Mkuu wa Atlético Madrid yupo kamili kwa mchezo mkali dhidi ya Manchester United. Wachezaji wote wapo kamili kupambania ushindi uwanjani.
Michael Carrick, Kocha Mkuu wa Manchester United anapasua kichwa kutokana na kumkosa beki wake. Luke Shaw alifanyiwa mabadiliko kwenye mchezo uliopita dhidi ya Tottenham. Jumatatu hakuwa sehemu ya mazoezi jambo ambalo linaongeza ugumu kwenye eneo hilo.Patrick Dorgu naye hayupo fiti,Kobbie Mainoo naye alikosekana kwenye mazoezi Jumatatu.
Takwimu za h2h na fomu ya sasa
Historia ya hivi karibuni inaonyesha kuwa Manchester United wameshinda mechi mbili tu kati ya nane za nyumbani walizocheza dhidi ya timu za Hispania katika Ligi ya Mabingwa Ulaya (D3 L3). Atlético Madrid, kwa upande wao, wamekuwa na rekodi nzuri dhidi ya timu za Uingereza, hasa wanapocheza nyumbani.
Fomu ya sasa ya timu hizi katika ligi zao za ndani itatoa picha kamili ya utayari wao. Atlético Madrid wamekuwa wakipambana kupata uthabiti, huku Manchester United wakionyesha dalili za kuboreka chini ya kocha wao.Utabiri matokeo ni Atletico Madrid 2-0 Manchester United. Haya ni maoni ya Mhariri na sio matokeo rasmi.
Atletico Madrid vs Manchester United prediction lineups
Atletico Madrid Predicted Lineup
Atletico Madrid predicted Lineup: Oblak, Llorente, Romero, Le Normand, Grimaldo, Koke, Cardoso, Lookman
Alvarez, Simeone na David.
Manchester United Predicted Lineup: Lammens, Yoro,Maguire,Martinez,Dalot,Mainoo,Baleba,Fernandes,Amad,Mbuemo
na Cunha.
SOMA HII PIA:France 4-1 Belgium UEFA League 2026/27 | Highlights | Zinedine Zidane ashangilia ushindi mkubwa
Hitimisho
Kwa kumalizia, pambano hili la Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya Atlético Madrid na Manchester United linaahidi burudani ya hali ya juu. Kila timu itapambana vikali kusaka ushindi, na mashabiki wanatarajia kuona soka safi na la kuvutia.Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa matokeo na taarifa bomba.

