Mbeya City 1-3 Kagera Sugar: NBC Premier League, highlights, matokeo, magoli yote

ByJoel Thomas

October 10, 2026
Vita ya uwanjaniVita ya uwanjaniVita ya uwanjani

  • Mbeya City 1-3 Kagera Sugar ndivyo ulivyosomeka ubao wa matokeo kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya, katika mchezo wa Ligi Kuu Bara yaani NBC Premier League.
  • Ni mabao mawili ya Mudathir Said na bao moja la Emmanuel Mvuyekure ndiyo yalipeleka kilio kwa Mbeya City wakicheza Uwanja wa nyumbani.
  • Huu ni mchezo wa kwanza wa ushindi kwa kikosi cha Kagera Sugar kwenye ligi msimu huu wa 2026/27.
  • Makala hii inachambua kwa ufupi matokeo, magoli na mwenendo wa mchezo huu.

Ligi Kuu Bara imeendelea Ijumaa kwa michezo mbalimbali, huku walima miwa wa Kagera wakiibuka na ushindi wao wa kwanza katika mchezo wa ushindi wa Mbeya City 1-3 Kagera Sugar. Mchezo huu ulipigwa kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Ni mabao mawili ya Mudathir Said na bao moja la Emmanuel Mvuyekure ndiyo yalipeleka kilio kwa Mbeya City wakicheza Uwanja wa nyumbani. Ikumbukwe huu ni mchezo wa kwanza wa ushindi kwa kikosi cha Kagera Sugar kwenye ligi msimu huu wa 2026/27.

SOMA HII: Polisi Tanzania 2-0 Mbeya City NBC Premier League | Msimamo | Highlights | SportPesa Blog

Habari za timu na majeraha

Mbeya City vs Kagera Sugar
Mbeya City vs Kagera Sugar

Kwa upande wa Mbeya City, hakuna ripoti rasmi za majeraha makubwa zilizothibitishwa. Kagera Sugar pia hawana ripoti za majeraha makubwa. Hii inafanya makocha wa timu hizi mbili kuwa na uwanda mpana wa kujiandaa na mechi zijazo.

Shinda mpaka Milioni 800 sasa, cheza kindege cha SportPesa kwa kugusa hapa chini

Screenshot ---------- ------

Takwimu za h2h na fomu ya timu

Historia ya mikutano kati ya Mbeya City na Kagera Sugar imeonyesha ushindani mkubwa japokuwa Kagera Sugar wamekuwa na takwimu nzuri zaidi. Katika mechi zao 5 zilizopita Kagera Sugar wameshinda mechi 3 sare mchezo mmoja na Mbeya City wameshinda mechi moja pekee.

SOMA HII ZAIDI: Mbeya City vs Mashujaa: Uchambuzi wa Kina, Ratiba na Utabiri wa Ligi Kuu Tanzania

Wachezaji muhimu na mbinu

Mbeya City 1-3 Kagera Sugar
Mbeya City vs Kagera Sugar

Nyota Mudathir Said ameendelea kuonyesha yeye ni miongoni mwa nyota muhimu wa kikosi cha timu hiyo, hasa baada ya kuifungia Kagera Sugar mabao 2 katika ushindi huo. Mbeya City wanawategemea wachezaji wao wa kati kuweza kudhibiti mchezo na kuunda nafasi za kufunga. Licha ya kuanza vibaya lakini Mbeya City wamethibitisha wao ni timu ya aina gani.

SOMA HII PIA: Mbeya City vs Simba SC kupigwa saa 8 mchana NBC Premier League | H2H, msimamo | SportPesa Blog

1UP, 2UP, 3UP haina kusubiri dakika 90, chukua chako mapema

Screenshot ---------- ------

Hitimisho

Matokeo ya Mbeya City 1-3 Kagera Sugar yanazidi kuonyesha ugumu wa Ligi Kuu Bara, kwamba timu mwenyeji anaweza kupoteza mchezo muhimu akicheza uwanja wake wa nyumbani. Mchezo huu ulikuwa mgumu kwa timu zote mbili licha ya Mbeya City kuwa ma faida ya kucheza nyumbani. Kagera Sugar wameonyesha wana timu ya ushindani yenye kuweza kupata matokeo popote. Endelea kufuatilia SportPesa Blog.

Share this:

ByJoel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.