
Ijue ratiba ya Ligi Kuu Tanzania:Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27: Mechi zote 240 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika
Mbeya City vs Mashujaa FC ni mchezo unaofuata Ligi Kuu ya NBC 2026/27. Mchezo huu unatarajiwa kuwa na ushindani mkali, huku kila timu ikihitaji pointi 3 muhimu. Mbeya City, watakuwa wakitafuta kutumia uwanja wao wa nyumbani kama faida.
Ratiba ya mzunguko wa 3:Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27 mzunguko wa 3 | Singida Black Stars vs Simba SC | Yanga SC vs JKT Tanzania | Odds
Mbeya City vs Mashujaa FC vuna mamilioni
Una nafasi kushinda mamilioni ukisuka mkeka Mbeya City vs Mashujaa FC wako kupitia SportPesa. Angalia rekodi kisha bofya link hapa kuweka mkeka wako. Bashiri kwa uwajibikaji.

Kwa upande mwingine, Mashujaa FC wataingia uwanjani wakiwa na lengo la kuwashangaza wenyeji na kuondoka na pointi muhimu ugenini. Timu hiyo ina hasira mara baada yakutoka kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Fountain Gate. Hapa tumekuletea uchambuzi wa kina wa mchezo huu.
Muda wa mchezo Mbeya City vs Mashujaa FC
Mechi hii muhimu kati ya Mbeya City VS Mashujaa FC itachezwa Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Mchezo unatarajiwa kuanza saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki. Mbeya City watakuwa nyumbani kwa mara nyingine baada yakuvuna pointi 3 dhidi ya Dodoma Jiji FC kwa ushindi wa mabao 2-0 mchezo uliopita.
Habari za timu, majeraha na wachezaji waliokosekana
Kwa upande wa Mbeya City chini ya Kocha Mkuu, Salumu Mayanga amebainisha kuwa wachezaji wapo kamili. Kocha huyo amesema kuwa amewaandaa wachezaji kisaikolojia ili kushinda. Ameongeza kwamba ushindi mchezo uliopita umewaongezea nguvu.
Mashujaa FC chini ya Kocha Mkuu, Aman Josiah amebainisha kuwa wachezaji wapo kamili.. Matokeo yaliyopita yamewapa somo watafanyia kazi makosa. Kuhusu wachezaji ambao watakosekana aliweka wazi kuwa asilimia kubwa wote wapo kamili.
Maoni ya makocha
Kocha Mkuu wa Mbeya City, Manyanga amesisitiza umuhimu wa mchezo huu kwa malengo yao ya msimu. Alisema, “Tunajua Mashujaa ni timu nzuri, lakini tuko nyumbani na tutapambana kuhakikisha pointi tatu zinabaki hapa. Maandalizi yamekwenda vizuri na wachezaji wako tayari.”
Kwa upande wa Mashujaa FC, kocha Josiah ameeleza kujiamini kwa kikosi chake. “Tunawaheshimu Mbeya City, lakini tumejiandaa vizuri kwa ajili ya mchezo huu. Lengo letu ni kupata matokeo chanya ugenini na kuendeleza morali yetu,” alifafanua.
Takwimu za ana kwa ana (h2h)
Rekodi zinaonyesha kuwa kwenye mechi 4 zilizopita walipokutana, ushindi ni mechi 3 kwa Mashujaa FC. Sare mara moja. Mbeya City haijawahi kushinda mbele ya Mashujaa FC. Mabao ambayo yamefungwa ni 6. Mashujaa FC imefunga mabao 5 na Mbeya City imefunga bao 1.
Matokeo ya mchezo wa mwisho wababe hawa kukutana ilikuwa Mbeya City 0-0 Mashujaa FC. Ilikuwa 30/04/2026. Hii ilikuwa ni mara ya kwanza Mbeya City wanavuna pointi moja dhidi ya Mashujaa FC.
Utabiri wa mechi
Kutokana na matokeo ya ushindi mechi iliyopita kwa Mbeya City wakiwa nyumbani kuna nafasi kupata ushindi. Licha ya kwamba haitakuwa rahisi rekodi itaandikwa kwa ushindi mwembamba ndani ya uwanja. Tunatarajia kuona mchezo wa wazi na nafasi nyingi za kufunga mabao kutoka pande zote mbili.
Matokeo ya sare ya 1-1 au ushindi mwembamba wa Mbeya City wa 2-1 yanaweza kuwa uwezekano mkubwa. Haya sio matokeo rasmi ni maoni ya mhariri.
Vidokezo vya utabiri
Ushindi wa Mbeya City au Sare: Kwa kuzingatia faida ya nyumbani na historia ya H2H, Mbeya City wanaweza kupata angalau pointi moja.
Mabao Chini ya 2.5: Mechi kati ya timu hizi mara nyingi zimekuwa na mabao machache kutokana na ulinzi imara.
Timu Zote Kufunga (BTTS): Pamoja na ulinzi, timu zote zina uwezo wa kufunga, hivyo kuna uwezekano wa kuona mabao kutoka pande zote.
Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa uchambuzi zaidi na taarifa za michezo.
Hitimisho
Mbeya City vs Mashujaa FC mechi kali ya wababe wawili ndani ya ligi. Katika msimamo Mbeya City baada ya mechi 2 ipo nafasi ya 7 imekusanya pointi 3. Mashujaa FC ipo nafasi ya 8 ina pointi 3. Timu zote zimepata ushindi kwenye mchezo mmoja.

