
Leeds United ni moja ya timu ambayo ipo ndani ya 3 bora kwenye msimamo wa Premier League 2026/27. Baada yakucheza mechi 4 ilipata ushindi katika mechi mechi 2 na sare michezo 2. Leeds United 4-1 Newcastle United ni matokeo ya hivi punde. Ina ratiba ngumu kwenye mechi zijazo ikiwemo dhidi ya mabingwa watetezi Arsenal.
Ratiba ya Premier 2026/27 :Premier League Fixtures
Shinda mamilioni sasa hivi ukipaisha Kindege cha SportPesa
Una nafasi yakushinda mamilioni sasa hivi ukipaisha Kindege cha SportPesa. Rubani makini anapaa angani akiwa na uhakika. Mwanzo wa wiki muda sahihi kuvuna mamilioni. Bofya hapa chini ushinde sasa hivi.
Mechi zijazo za Leeds United
| Tarehe | Mechi |
| Septemba 20, 2026 | Leeds vs Palace |
| Oktoba 10, 2026 | Arsenal vs Leeds |
| Oktoba 18, 2026 | Leeds vs Manchester United |
| Oktoba 31,2026 | Bourbermouth vs Leeds |
Matokeo ya Leeds United 2026/27
| Tarehe | Matokeo |
| Agosti 22, 2026 | Nottm Forest 0-1 Leeds |
| Agosti 30, 2026 | Leeds 1-1 Brentford |
| Septemba 5,2026 | Brighton 1-1 Leeds |
| Septemba 14,2026 | Leeds United 4-1 Newcastle United |
Msimamo wa Leeds United
Timu hiyo ipo nafasi ya 3 imecheza mechi 4 imeshinda 2. Ni sare 2 imepata huku safu ha ushambuliaji ikifunga mabao 7 ina pointi 8. Inanolewa na Kocha Mkuu, Daniel Farker raia wa Ujerumani.
Usikose fursa ya kushiriki katika msisimko wa Ligi Kuu ya Uingereza. Cheza na SportPesa na ushinde zawadi mbalimbali.

