Matokeo ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27Maxi Nzengeli (-)
  • Maxi Nzengeli kiungo mshambuliaji wa Yanga SC alichaguliwa kuwa Man of The Match mchezo dhidi ya Pamba Jiji FC
  • Nathaniel Chilambo beki wa Simba SC alichaguliwa kuwa Man of The Match mchezo dhidi ya Coastal Union
  • Jonathan Sowah mshambuliaji wa Singida Black Stars alichaguliwa mchezaji bora mchezo dhidi ya Polisi Tanzania

Mzunguko wa 4 matokeo ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27 yamekuwa yakushangaza kwa kila mchezo. Mashujaa FC 2-1 Kagera Sugar ni miongoni mwa mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa. Singida Black Stars 4-2 Polisi Tanzania ni rekodi ya mchezo uliokusanya mabao mengi.

Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27: Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27: Mechi zote 240 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Matokeo ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27 mzunguko wa 4 Agosti 27

Matokeo ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27
Seleman Mwalimu Gomez mshambuliaji wa Yanga SC.

Takwimu za Yanga SC vs Pamba Jiji FC: Yanga SC 2-0 Pamba Jiji FC NBC Premier League 2026/27 | Highlights

Mashujaa FC 2-1 Kagera Sugar, Uwanja wa Lake Tanganyika. Wafungaji Mishano Daud dakika ya 64 na Haroun Lyawatana dakika ya 72 kwa Mashujaa FC na Mudathir Said dakika ya 38. Man of The Match Mishamo Michael wa Mashujaa FC

Simba SC 1-0 Coastal Union, Uwanja wa Meja Jen Isahmuyo. Mfungaji bao la ushindi Ismail Toure dakika ya 75. Man of The Match Nathaniel Chilambo.

Matokeo mechi za Agosti 28

Fountain Gate 0-2 Mbeya City, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Mfungaji wa mabao ni Osca Mwajanga dakika ya 83 na 85. Man of The Match Mwajanga.

Geita Gold 2-2 Azam FC, Uwanja wa Bukombe. Mabao ya Geita Gold yamefungwa na Obrey Chirwa dakika ya 45+4 kwa mkwaju wa penalti na Martin Kigi dakika ya 90+3. Mabao ya Azam FC, Sopu dakika ya 45+1 mkwaju wa penati na Himid Mao dakika ya 90+1. Man of The Match Kigi.

Yanga SC 2-0 Pamba Jiji FC, Uwanja wa KMC Complex. Wafungaji ni Maxi Nzengeli dakika ya 17 na Ibrahim Toure dakika ya 22. Man of The Match Nzengeli.

Matokeo ya mechi za Agosti 29,2026

TRA United SC 0-1 Dodoma Jiji FC, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Mfungaji, William Edgar dakika ya 62. Man of The Match Edgar.

Singida Black Stars 4-2 Polisi Tanzania, Uwanja wa Airtel. Wafungaji wa Singida Black Stars ni Jonathan Sowah dakika ya 25, James dakika ya 31 kwa mkwaju wa penalti, Sheikhan dakika ya 42 na Mboma dakika ya 75. Kwa Polisi Tanzania ni Baraka Mwambule dakika ya 14 na Ibrahim Ame dakika ya 45+1. Man of The Match Sowah.

JKT Tanzania 2-1 Namungo FC, Uwanja wa Mej. Gen. Isamuhyo. Wafungaji wa JKT Tanzania, Paul Peter dakika ya 52 kwa mkwaju wa penalti na Said Mkopi dakika ya 57 kwa Namungo FC ni Hassan Wahabi alijifunga dakika ya 77.

Msimamo wa Ligi ya NBC

Matokeo ya Ligi Kuu ya NBC
Msimamo wa NBC 2026/27

Ligi Kuu takwimu: Ligi Kuu NBC 2026/27 | Yanga SC na Simba SC kileleni | Pointi 6 Mechi 2 | msimamo | Takwimu

Hitimisho

Matokeo ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27 mzunguko wa 4 yameendelea kuwapa nafasi ya kwanza Yanga SC. Kagera Sugar katia mechi 4 haijapata ushindi ikiwa inaburuza mkia. Bado mzunguko wa 5 unafuata ikiwa ni mwanzo wa ligi.

Share this: