Yanga SC 2-0 Pamba Jiji FCMax

 

Yanga SC 2-0 Pamba Jiji FC
Maxi Nzengeli kiungo mshambuliaji wa Yanga SC na Peter Shalulile

ni matokeo rasmi mchezo wa NBC Premier League 2026/27. Mchezo huu mkali ulichezwa Uwanja wa KMC Complex, saa 3:00 usiku. Mabao yalifungwa na Maxi Nzengeli dakika ya 17 na Ibrahim Toure dakika ya 22.

Maxi Nzengeli alichaguliwa kuwa Man of The Match mara baada ya mchezo huo. Yanga SC inarejee kileleni mwa msimamo. Inafikisha pointi 12 ikiwa nafasi ya kwanza kwenye msimamo kwa tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa dhidi ya Simba SC.

Ijue ratiba ya ligi ya NBC: Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Yanga SC vs Pamba Jiji FC | Matokeo mzunguko wa 4 | Msimamo | SportPesa Blog

Je, bado hujashinda mamilioni ya aviator ‘Kindege’ cha SportPesa? Cheza ushinde mamilioni sasa

Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Taarifa muhimu Yanga SC 2-0 Pamba Jiji FC

Mashindano Ligi Kuu ya NBC Ligi Kuu ya NBC
Matokeo Yanga SC 2 0 Pamba Jiji FC
Uwanja KMC Complex KMC Complex
Man of the Match Maxi Nzengeli
Muda wa mchezo Saa 3:00 usiku Saa 3:00 usiku

Wafungaji wa mabao ya ushindi

Katika mchezo huo mkali Yanga SC walitumia dakika 17 kufunga bao la kwanza. Kupitia kwa Maxi Nzengeli ukurasa wa mabao ulifunguliwa. Dakika ya 22 lilipachikwa bao la pili mfungaji akiwa ni Ibrahim.

Huu unakuwa ni ushindi wa 4 kwa Yanga SC ndani ya msimu wa 2026/27. Timu hiyo imekuwa kwenye ubora katika mechi za mwanzo. Safu ya ushambuliaji imefikisha mabao 13 baada ya mechi 4 huku ikiruhusu kufungwa mabao 2.

Faida ya kucheza nyumbani

Wananchi wamekuwa na faida kwenye mechi za nyumbani kupata ushindi. Huu unakuwa ni mchezo wa tatu walianza na Coastal Union kwaushindi wa mabao 4-1. JKT Tanzania walifuata katika mchezo wa pili walipata ushindi wa mabao 4-0. Huu unakuwa mchezo wa 3 wakipata ushindi wa mabao 2-0.

Kwenye mechi 3 wakiwa Uwanja wa KMC Complex wamefunga jumla ya mabao 10. Wameruhusu kufungwa bao moja pekee. Mechi zote hizo langoni alikaa mlinda mlango Djigui Diarra.

Maoni ya makocha Yanga SC 2-0 Pamba Jiji FC

Kocha Mkuu wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi amesema kuwa walikuwa wanauwezo wa kufunga mabao zaidi ya 7. Hiyo ilikuwa ni kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Pamba Jiji FC uliochezwa Uwanja wa KMC Complex. Katika mchezo huo, Yanga SC ilipata ushindi wa mabao 2-0 ikifikisha pointi 12.

Kocha huyo amesema: “Nimefurahi kuona tumepata ushindi katika mchezo wetu tulikuwa na nafasi yakufunga mabao zaidi ya 7 lakini tumepata mawili kikubwa ushindi. Ninawapongeza wachezaji kwa kujituma. Bado tuna kazi kwenye mechi nyingine zijazo kutafuta matokeo,”.

Kwa upande wa Kocha Mkuu wa Pamba Jiji FC, Francis Baraza amesema walifanya makosa yaliyowagharimu. Baraza amesema kuwa watafanyia kazi makosa kuwa bora kwa mechi zijazo.

“Tumefanya makosa ambayo yamesababisha tukafungwa katika mchezo wetu. Tumeshindwa kufunga hilo tumeliona tunakwenda uwanja wa mazoezi kufanyia kazi makosa yetu,”.

Kikosi cha Yanga SC vs Pamba Jiji FC

Langoni

Djigui Diarra

Mabeki

Bakari Nondo

Ibrahim Bacca

Zimbwe Jr

Yao Kouassi

Viungo

Cheick Toure

Fred Ngoma

Albert Kngwanda

Mudathir Yahya

Maxi Nzengeli

Mshambuliaji

Peter Shalulile

Kikosi cha Pamba Jiji FC vs Yanga SC

Onesmo Munishi

Zabona Mayombya

Ibrahim Ibrahim

Nonyem Emmanuel

Deogratius Mafie

Saleh Karabaka

Abdallah Kheri

John Ochieng

Natanael Ndwangou

Hassan Kibailo

Diomande Idriss

Mambo muhimu na maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Yanga SC imecheza mechi ngapi nyumbani?

Wananchi wamecheza mechi 3 nyumbani, msimu wa 2026/27

Yanga SC imeshinda mechi ngapi?

Yanga SC imeshinda mechi 4 ndani ya ligi msimu wa 2026/27

Pamba Jiji FC imepata ushindi mara ngapi kwa Yanga SC?

Pamba Jiji FC haijawahi kushinda dhidi ya Yanga SC kwenye mechi za ligi ndani ya uwanja.

Rekodi zinaibeba Yanga SC: Rekodi zinaibeba Yanga SC mbele ya Pamba Jiji FC Septemba 24 | Presha hakuna,mabingwa kazini

Hitimisho

Yanga SC 2-0 Pamba Jiji FC ushindi ulipatikana ndani ya dakika 45 za mwanzo. Wananchi wanaongoza ligi wakiwa na pointi 12 wanaishusha Simba SC nafasi ya kwanza. Huu ni mchezo wa 4 kwa Yanga SC kushinda wakiwa ni mabingwa watetezi ndani ya msimu mpya wa 2026/27

Share this: