Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Yanga SC vs Pamba Jiji FCIbra Bacca
  • Yanga SC vs Pamba Jiji FC saa 3:00 usiku, Uwanja wa KMC Complex, Mwenge
  • Geita Gold vs Azam FC itachezwa Uwanja wa Bukombe, saa 12:30 jioni
  • Simba SC inaongoza ligi baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union ya Tanga

Tumekuletea ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27 Yanga SC vs Pamba Jiji FC. Mchezo huu wa mzunguko wa 4 utapigwa Uwanja wa KMC Complex saa 3:00 usiku. Fountain Gate vs Mbeya City ni saa 10:00 jioni, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Ijue ratiba ya ligi 2026/27: Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27: Mechi zote 240 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Je, bado hujashinda mamilioni ya aviator ‘Kindege’ cha SportPesa? Cheza ushinde mamilioni sasa

Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Tottenham Hotspur

Yanga SC vs Pamba Jiji FC mechi kali

Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Yanga SC vs Pamba Jiji FC
Seleman Mwalimu Gomez mshambuliaji wa Yanga SC

Ratiba ya Yanga SC mechi 10 za ligi: Ratiba ya Yanga SC NBC Premier League 2026/27 mechi 10 zamoto / Kariakoo Dabi Oktoba 10,2026

Kwenye ratiba leo zinatarajiwa kuchezwa mechi kali mbili ikiwemo Yanga SC vs Pamba Jiji FC. Ugumu wa mechi hii ni vita kuwania nafasi ya kwanza. Wananchi wakishinda mchezo wanarejea kileleni na kumshusha mnyama kwa tofauti ya idadi ya mabao yakufunga na kufungwa.

Fountain Gate FC watakuwa nyumbani wakikabiliana na Mbeya City. Mchezo huu unatarajiwa kupigwa saa 10:00 jioni utaanza mapema. Geita Golid vs Azam FC hii itapigwa saa 12:30 jioni.

Agosti 28, 2026

Fountain Gate vs Mbeya City, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, saa 10:00 jioni

Geita Gold vs Azam FC, Uwanja wa Bukombe, Agosti 28,2026 saa 12:30 jioni

Yanga SC vs Pamba Jiji FC, Uwanja wa KMC Complex, Agosti 28, 2026

Agosti 29

TRA United SC vs Dodoma Jiji FC, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, saa 10:00 jioni

Singida Black Stars vs Polisi Tanzania, Uwanja wa Airtel, saa 12:30 jioni

JKT Tanzania vs Namungo FC, Uwanja wa Mej. Gen. Isamuhyo, saa 3:00 usiku

Matokeo ya NBC Premier League Agosti 27,2026

Mashujaa FC 2-1 Kagera Sugar, Uwanja wa Lake Tanganyika

Simba SC 1-0 Coastal Union, Uwanja wa Meja Jen Isahmuyo

Msimamo wa NBC Premier League

Msimamo (-)
Msimamo wa NBC Premier League

Hitimisho

Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Yanga SC vs Pamba Jiji FC inatarajiwa kupigwa saa 3;00 usiku. Ni mchezo wa mzunguko wa 4 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkali. Azam FC watakuwa ugenini kusaka pointi dhidi ya Geita Gold.

Share this: