- Droo ya hatua ya ligi ya mashindano ya Ulaya, yaani UEFA Champions League 2026/27 imefanyika leo Alhamisi Agosti 27, 2026.
- Droo hiyo ambayo imemalizika hivi punde huko Monaco, Ufaransa imetoa majibua ya timu mbalimbali na wapinzani wao katika hatua ya ligi.
- Baadhi ya timu kubwa ambazo zinatarajiwa kuwa kwenye hatua hiyo ni; Manchester United, Arsenal, PSG, Barcelona, Real Madrid na Liverpool.
- Makala hii inachambua kwa ufupi safari ya kuielekea Fainali ya mashindano hayo itakayopigwa Estadio Metropolitano, Madrid huko Spain.
Droo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya yaani UEFA Champions League 2026/27 hatua ya ligi imekamilika, na kila timu imetambua wapinzani wao. Baadhi ya timu kubwa kama vile Baadhi ya timu kubwa ambazo zitawasha moto katika hatua hiyo ni pamoja na; Manchester United, Arsenal, PSG, Barcelona, Real Madrid na Liverpool. Baadhi ya mechi zinasubiriwa kwa hamu ikiwemo Manchester United vs Bayern Munich. Makala hii inachambua kwa ufupi mambo muhimu ikiwemo ratiba na matokeo ya droo hiyo.
Je, bado hujashinda pesa? Cheza aviator ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa
Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi zaidi ya Milioni 800 muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Muhtasari wa matokeo ya Droo ya UEFA Champions League 2026/27

Safari ya kuelekea fainali ya UEFA Champions League 2026/27 mjini Madrid imewekwa wazi siku ya Alhamisi, baada ya kufanyika kwa droo ya hatua ya ligi yenye jumla ya timu 36. Ikumbukwe Arsenal, Manchester City, Manchester United, Aston Villa na Liverpool zimefuzu kutoka Premier League kwa mpangilio huo kulingana na nafasi walizomaliza msimu uliopita. Kila timu inatamani kufika fainali ya mashindano haya itakayopigwa dimba la Estadio Metropolitano wa Atletico Madrid, Juni 5, 2027
Hii hapa ratiba ya timu zote na wapinzani wao kwenye hatua ya ligi ya UEFA Champions League 2026/27:

| Timu | Nyumbani | Ugenini |
|---|---|---|
| PSG | Barcelona, Roma, Galatasaray, Slovan Bratislava | Manchester City, Aston Villa, Villarreal, Como |
| Bayern Munich | Arsenal, Real Betis, Bodo/Glimt, Slavia Prague | Atletico Madrid, Manchester United, Lille, Viking |
| Real Madrid | Inter Milan, PSV, RB Leipzig, LASK | Arsenal, Roma, Shakhtar Donetsk, AEK Athens |
| Liverpool | Atletico Madrid, Porto, Villarreal, Lens | Inter Milan, Club Brugge, Fenerbahce, LASK |
| Inter Milan | Liverpool, Club Brugge, Shakhtar Donetsk, Stuttgart | Real Madrid, Atletico Madrid, Feyenoord, Slovan Bratislava |
| Manchester City | PSG, Sporting CP, Napoli, AEK Athens | Barcelona, Porto, RB Leipzig, Lens |
| Arsenal | Real Madrid, Borussia Dortmund, Lille, Sabah | Bayern Munich, Real Betis, Napoli, Slavia Prague |
| Barcelona | Manchester City, Aston Villa, Feyenoord, Como | PSG, Sporting CP, Galatasaray, Sabah |
| Atletico Madrid | Bayern Munich, Manchester United, Fenerbahce, Viking | Liverpool, PSV, Bodo/Glimt, Stuttgart |
| Borussia Dortmund | Inter Milan, Real Betis, Villarreal, AEK Athens | Arsenal, Aston Villa, Bodo/Glimt, Sabah |
| Roma | Real Madrid, Sporting CP, Lille, Slovan Bratislava | PSG, Manchester United, Fenerbahce, AEK Athens |
| Sporting CP | Barcelona, Manchester United, Galatasaray, LASK | Manchester City, Roma, Shakhtar Donetsk, Lens |
| Aston Villa | PSG, Borussia Dortmund, Fenerbahce, Viking | Barcelona, Club Brugge, Galatasaray, Slavia Prague |
| Porto | Manchester City, PSV, Napoli, Slavia Prague | Liverpool, Real Betis, Feyenoord, LASK |
| Manchester United | Bayern Munich, Roma, RB Leipzig, Sabah | Atletico Madrid, Sporting CP, Villarreal, Como |
| Napoli | Arsenal, Club Brugge, Bodo/Glimt, Viking | Manchester City, Porto, Villarreal, Sabah |
Ratiba ya mechi za UEFA Champions League 2026/27 zitachezwa lini?

Mechi za kwanza kuchezwa kati ya 8-10 Septemba
Mechi za pili kuchezwa kati ya 13-14 Octoba
Mechi za 3 kuchezwa kati ya 20-21 Octoba
Mechi za 4 kuchezwa kati ya 3-4 Novemba
Mechi za 5 kuchezwa kati ya 24-25 Novemba
Mechi za 6 kuchezwa kati ya 8-9 Desemba
Mechi za 7 kuchezwa kati ya 19-20 Januari, 2027
Matchday 8 kuchezwa 27 Januari 2027
Hitimisho

Hatimaye hatua ya ligi ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya yaani UEFA Champions League 2026/27 kuanza kutimua vumbi kati ya Septemba 8-10, mwaka huu. Hii ni baada ya kukamilika kwa droo ya hatua ya ligi ya mashindano hayo. Safari ya kuisaka hatua ya fainali ya mashindano hayo itakayopigwa katika dimba la Estadio Metropolitano, huko Madrid nchini Uhispania. Endelea kufuatilia SportPesa blog.

