Yanga SC 4-0 JKT TanzaniaShasha
  • Yanga SC 4-0 JKT Tanzania, Uwanja wa KMC Complex mzunguko wa 3
  • Singida Black Stars 1-2 Simba SC, Azam FC 2-1 Pamba Jiji FC
  • Yamefungwa mabao 25 katika mechi za mzunguko wa 3, vinara wa ligi ni Yanga SC wakiwa na pointi 9
  • Ratiba ina mechi kali ikiwa Simba SC vs Coastal Union, Yanga SC vs Pamba Jiji FC

Yanga SC 4-0 JKT Tanzania ni matokeo ya mchezo wa mzunguko wa 3 uliochezwa Uwanja wa KMC Complex. Katika mechi hii yalifungwa mabao makali kupitia kwa Albert Kangwanda dakika ya 26, Ibrahim Bacca dakika ya 35, Boca dakika ya 39 na Peter Shalulile dakika ya 63. Ushindi huo unawafanya watoto wa Jangwani kufikisha pointi 9 na mabao 11 baada ya mechi 3.

Mzunguko wa 3 yamefungwa jumla ya mabao 25 ndani ya dakika 90. Simba SC mchezo wao wa ugenini dhidi ya Singida Black Stars walimaliza wakiwa pungufu. Beki Anthon Mligo alionyeshwa kadi nyekundu dakika ya 84.

Matokeo mzunguko wa 3 NBC Premier League

Yanga SC 4-0 JKT Tanzania
Ibrahim Bacca beki wa Yanga SC.

Ijue ratiba ya NBC mechi zote: Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27: Mechi zote 240 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Timu ya NyumbaniMatokeoTimu ya Ugenini
Yanga SC4 – 0JKT Tanzania
Geita Gold6 – 2Kagera Sugar
Mbeya City2 – 1Mashujaa FC
Azam FC2 – 1Pamba Jiji FC
Singida Black Stars1 – 2Simba SC
Namungo FC1 – 0Fountain Gate
Dodoma Jiji FC0 – 1Polisi Tanzania
Coastal Union1 – 1TRA United

Ushindi mkubwa Geita Gold 6-2 Kagera Sugar

Mchezo wa Geita Gold 6-2 Kagera Sugar unainga katika rekodi ya ushindi mkubwa ndani ya msimu wa 2026/27. Timu ya Kagera Sugar inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Kaseja ilikubali kipigo hicho.Kaseja amesema kuwa wamefanya makosa katika mchezo huo hivyo wanafanya maboresho kwa mechi zinazofuata.

Ni Mashujaa FC vs Kagera Sugar mchezo unaofuata kwa wababe hawa. Huu unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Lake Tanganyika. Huu utachezwa Agosti 27,2026.

Singida Black Stars 1-2 Simba SC

Timu mbili zimepata ushindi ugenini katika mzunguko wa 3. Mnyama akiwa Uwanja wa Airtel alikomba pointi 3. Polisi Tanzania akiwa ugenini, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma alikomba pointi 3.TRA United akiwa ugenini, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga alikomba pointi moja kwa sare ya kufungana 1-1 dhidi ya Coastal Union.

Matokeo na takwimu Singida Black 1-2 Simba SC: Singida Black Stars 1-2 Simba SC: H2H na takwimu

Ratiba ya mzunguko wa 4 NBC Premier League

Shinda na SportPesa kwa kusuka mkeka wako

JKT Tanzania vs Namungo FC inakupa nafasi kuvuna mamilioni. Suka mkeka wako na ushinde. Bashiri kwa uwajibikaji kwa kubofya link hapa chini.

JKT Tanzania vs Namungo FC
JKT Tanzania vs Namungo FC

Mashujaa FC vs Kagera Sugar, Uwanja wa Lake Tanganyika, Agosti 27,2026

Simba SC vs Coastal Union, Uwanja wa Meja Jen Isahmuyo, Agosti 27,2026

Fountain Gate vs Mbeya City, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Agosti 28,2026

Geita Gold vs Azam FC, Uwanja wa Bukombe, Agosti 28,2026

Yanga SC vs Pamba Jiji FC, Uwanja wa KMC Complex, Agosti 28,2026

TRA United SC vs Dodoma Jiji FC, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Agosti 29,2026

Singida Black Stars vs Polisi Tanzania, Uwanja wa Airtel, Agosti 29,2026

JKT Tanzania vs Namungo FC, Uwanja wa Mej. Gen. Isamuhyo, Agosti 29,2026

Msimamo wa NBC 2026/27

Yanga SC 4-0 JKT Tanzania
Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC 2026/27

Hitimisho

Yanga SC 4-0 JKT Tanzania ni matokeo ya moja ya mechi kali mzunguko wa 3. Wananchi wameendelea kuandika rekodi ya ushindi kila mechi wanayoshuka uwanjani. Mzunguko wa 4 itakuwa ni Yanga SC vs Pamba Jiji FC. Watani zao wa jadi Simba SC watawakaribisha Coastal Union.

Share this: