Ratiba ya Yanga SCYanga SC Zanzibar
  • Tumekuletea ratiba ya Yanga SC mechi 5 zijazo NBC Premier League 2026/27 kwa mabingwa watetezi
  • Yanga SC vs Coastal Union ni mchezo ujao unatarajiwa kuchezwa Agosti 20, Uwanja wa Uhuru
  • Fountain Gate vs Yanga SC huu unatarajiwa kuwa mchezo wa pili kwa mabingwa watetezi kuwa ugenini

Ratiba ya Yanga SC mechi 5 zijazo NBC Premier League 2026/27. Mabingwa hawa watetezi watakuwa na mechi 3 mfululizo nyumbani kabla ya kukwea pipa kuelekea Arusha ugenini. Wananchi chini ya Kocha Mkuu, Manqoba Mngqithi wanaendelea na mazoezi kambini Avic kwa mchezo ujao dhidi ya Coastal Union.

Usajili mpya Yanga SC: Usajili mpya Yanga SC balaa: Ali Kamwe atangaza mashine mbili mpya, namba 6 yatikisa, je ni Feisal?

Je, bado hujashinda mamilioni ya aviator ‘Kindege’ cha SportPesa? Cheza ushinde mamilioni sasa
Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi zaidi ya milioni 800 muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

SportPesa Aviator Rain Free Bets promotion

Taarifa muhimu ratiba ya Yanga SC mechi 5 zijazo NBC Premier League

Ratiba ya Yanga SC
Chuga Boy ingizo jipya Yanga SC 2026/27

Mashindano: NBC Premier League

Msimu: 2026/27

Nyumbani mechi 4

Ugenini: Mechi 3

Kocha Mkuu: Manqoba Mngqithi

Hii hapa ratiba ya mechi 5 zijazo Yanga SC

TareheMechiMuda (EAT)Uwanja
Alhamisi, 20 Agosti 2026Yanga SC vs Coastal Union10:30 JioniUwanja wa Uhuru
Jumatatu, 24 Agosti 2026Yanga SC vs JKT Tanzania12:00 JioniUwanja wa Uhuru
Ijumaa, 28 Agosti 2026Yanga SC vs Pamba Jiji FC03:00 UsikuUwanja wa Uhuru
Jumanne, 01 Septemba 2026Fountain Gate vs Yanga SC10:00 JioniUwanja wa Sheikh Amri Abeid
Jumanne, 08 Septemba 2026Yanga SC vs Geita Gold01:00 UsikuUwanja wa Uhuru

Matokeo ya Yanga SC 2026/27

Ratiba ya Yanga SC
Boka mfungaji wa bao la kwanza Yanga SC NBC Premier League 2026/27

Usajili mpya Yanga SC: Usajili Yanga SC 2026/27: Hawa hapa wachezaji wapya 5 wazawa

Agosti 15,2026, Namungo FC 1-3 Yanga SC, Uwanja wa Majaliwa.

Hitimisho

Kwenye ratiba ya Yanga SC mechi 5 zijazo ugenini inatarajiwa kuwatumia nyota wake wapya. Miongoni mwa hao ni Seleman Mwalimu ambaye ni mshambuliaji mzawa ingizo jipya kutoka Wydad Casablanca. Aziz Ki kiungo mshambuliaji naye amerejea kwa mara nyingine kundini.

Share this: