- Mashindanio ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wasichana WAFCON 2026, yameonyesha msisimko mkubwa.
- Mashindano hayo kwa sasa yameingia katika hatua ya kufuzu Robo Fainali.
- Baada ya kushuhudia matokeo ya Malawi 1-2 Zambia na Egypt 2-6 Nigeria, katika mechi mbili za kwanza, leo ni zamu ya wababe wengine wanne.
- Kuelekea mechi hizo mbili, yaani Cape Verde vs Cameroon, Mali vs Ghana vikosi tayari vikosi vimetoka. Makala hii inakuletea Habari picha za vikosi vya timu zote 4 vinavyoanza.
Mashindanio ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wasichana WAFCON 2026, yanazidi kutimua vumbi ambapo sasa yameingia katika hatua ya kufuzu Robo Fainali. Baada ya kushuhudia matokeo ya Malawi 1-2 Zambia na Egypt 2-6 Nigeria, katika mechi mbili za kwanza, leo ni zamu ya wababe wengine wanne. Kuelekea mechi hizo mbili, tayari vikosi vimetoka. Makala hii inakuletea Habari picha za vikosi vya timu zote 4 vinavyoanza.
Je, bado hujashinda pesa? Cheza aviator ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa
Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi zaidi ya Milioni 800 muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Cheza Aviator na upate nafasi ya kushinda hadi TZS milioni 800 kwa raundi.
WAFCON 2026 Vikosi vya Cape Verde vs Cameroon
KUHUSU RATIBA YA AFCON 2025, SOMA HII: AFCON 2025: Matokeo na Ratiba, hizi hapa timu zilizofuzu hatua ya mtoano (16 bora)
WAFCON 2026 vikosi vya Mali vs Ghana
KUHUSU RATIBA YA AFCON 2025 ROBO FAINALI, SOMA HII: AFCON 2025: Matokeo na Ratiba ya Robo Fainali, hizi hapa timu zilizofuzu
Hitimisho
WAFCON 2026 imeonyesha nguvu ya uwekezaji na maandalizi yanavyoweza kuleta matokeo makubwa. Timu za Nigeria, Cape Verde, Cameroon, Zambia, Mali na Ghana wamekuwa na maandalizi bora, ambayo yamewabeba mpaka hatua hii ya kufuzu Robo Fainali. Swali ni kujua timu zipi zitavaana Nusu Fainali? Tufuatilie kupitia SportPesa Blog zote za mashindano haya.





