- Ni Dar Derby Yanga SC vs Azam FC nusu fainali CRDB Federation Cup kupigwa Juni 21, 2025
- Wababe hawa walikutana nusu fainali ya kwanza Muungano Cup Aprili 25, 2026 Yanga SC ikiipiga Azam FC goli 2-1.
- Je Yanga SC vs Simba SC kukutana katika Kariakoo Dabi kwa mara nyingine tena?
Hatimaye Yanga SC vs Azam FC nusu fainali CRDB Federation Cup watakipiga kusaka tiketi ya kutinga fainali. Hii ni baada ya ubao wa Lake Tanganyika kusoma Mashujaa FC 0-1 Azam FC, Mei 17, 2026. Wananchi ambao ni mabingwa watetezi walikata tiketi mapema kwa ushindi wa magoli 2-0 JKT Tanzania, Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo. Hii itakuwa vita ya mabingwa watetezi na timu yenya njaa kutinga hatua ya fainali.
SOMA HII: Azam yawabadilishia Uwanja Yanga Sc | Na ratiba ya Ligi Kuu ya Tanzania imebadilika
Je, bado hujashinda mamilioni? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune pesa sasa
Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Kitapigwa Yanga SC vs Azam FC nusu fainali CRDB Federation Cup

Mchezo mkali Juni 21, 2026 Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza ni Yanga SC vs Azam FC nusu fainali CRDB Federation Cup. Kati ya Juni mchezo huu unatarajiwa kuchezwa. Wababe hawa wamekutana mara moja kwenye ligi na mara moja katika Muungano Cup.
Mchezo ujao utakuwa ni watatu kwa wababe hawa kukutana uwanjani. Yanga SC imepata ushindi mara moja na sare moja. Mchezo ujao ni lazima mshindi kupatikana kwa kuwa ni hatua ya nusu fainali kila timu inasaka tiketi kutinga hatua ya fainali.
Azam FC 1-2 Yanga SC haya yalikuwa matokeo kwenye mchezo wa Muungano Cup. Azam FC 0-0 Yanga SC ilikuwa ni NBC Premier League. Je mchezo ujao nani ataibuka na ushindi?
SOMA HII: Unbeaten 19 Azam F.C NBC Premier League | Yanga SC rekodi zinadunda

Kariakoo Dabi inanukia
Karaikaoo Dabi inanukia hatua ya fainali ikiwa Yanga SC vs Simba SC watashinda mechi zao ngumu. Mabingwa watetezi wakipata ushindi dhidi ya Azam FC kutakuwa na nafasi kukutana na Simba SC tena. Hii inatokana na timu zote mbili kutinga nusu fainali.
Simba SC inakibarua cha kusaka tiketi ya fainali dhidi ya Coastal Union ya Tanga.Kila timu ina mchezo mgumu uwanjani. Kama Simba SC akishinda na Yanga SC akishinda mchezo wake Kariakoo Dabi inanukia kwa mara nyingine.
SOMA HII: Azam FC 0-0 Yanga SC Dar Derby/ Highlights, standings, statics
Hitimisho
Yanga SC vs Azam FCnusu fainali CRDB Federation Cup kupigwa Mwanza kwa wababe hawa wawili. Mabingwa watetezi watakuwa ugenini. Mshindi wa mchezo hatua ya fainali atakutana na mshindi wa nusu fainali ya kwanza Simba SC vs Coastal Union, Juni 20, 2026 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

