TRA United vs Simba SC nani atashinda?Nkane Dennis
  • Christina Mwagala na Ahmed Ally wametambiana kuelekea mchezo wa NBC Premier League
  • TRA UNITED vs Simba SC nani atashinda?
  • Steve Berkar, Kocha Mkuu wa Simba SC kwenye kibarua kingine ugenini
  • Tumekusogezea msimamo wa timu hizi mbili kwa mechi za nyumbani na ugenini

Mchezo mkali wa leo TRA United vs Simba SC nani atashinda? Matokeo yakushangazwa yanatarajiwa kutokea leo kutokana na ubora wa timu zote mbili. Wakusanya mapato chini ya kocha Ettiene Ndayiragije wametoka kushinda magoli 2-0 Namungo FC. Mnyama ametoka kushinda kwa magaoli 2-1 Singida Black Stars. Saa 10:00 jioni kazi ipo burudani ya NBC Premier League.

SOMA HII: Simba SC yajivunia ubora wa kikosi 2025/26/ Fixture, Standings

Aviator

Bado hujashinda mamilioni ya SportPesa?

Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Bashiri na SportPesa uvune mkwanja sasa hivi kwa kubonyeza picha hapo chini.

TRA United vs Simba SC nani atashinda?

TRA United vs Simba SC nani atashinda?
Oura kiungo wa Simba SC. Source: Simba SC

TRA United vs Simba SC nani atashinda? Swali ambalo linakwenda kujibiwa ndani ya dakika 90. Katika mechi nne walizokutana hivi karibuni mnyama alikuwa akipata ushindi.Licha ya rekodi kuonyesha kuwa TRA United haijafunga mbele ya Simba SC kuna maboresho makubwa katika kikosi hicho.

Uwanja wa Sheikh Amri Abeid utashuhudia wanaume 22 wakiwa uwanjani kutafuta pointi tatu muhimu. Christina Mwagala, Ofisa Habari wa TRA United amebainisha wapo tayari kwa mchezo. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema watapambana kupata pointi ugenini.

SOMA HII: NBC Premier League ratiba na CAF Champions League robo fainali

Aviator

Msimamo TRA United vs Simba SC

POSMPWDLPTS
4.Simba SC1283127
9. TRA United1454519

Msimamo wa TRA United vs Simba SC mechi za ugenini

POSMPWDLPTS
2. Simba SC642014
7. TRA United82248

Msimamo wa TRA United vs Simba SC mechi za nyumbani

POSMPWDLPTS
7. Simba SC641113
10. TRA United632111

H2H TRA United vs Simba SC

TRA United vs Simba SC
Mzamiru Yassin kiungo wa TRA United.

Februari 2,2025, TRA United 0-3 Simba SC, Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi.

Agosti 18,2024- Simba SC 3-0 TRA United, Uwanja wa KMC Complex

Mei 6,2024- Simba SC 2-0 TRA United, Uwanja wa Azam Complex

Februari 6,2024- TRA United 0-4 Simba SC, Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi.

Share this: