- Azam FC vs Yanga SC Dar Dabi, Uwanja wa Mkapa, Machi 15,2026 saa 2:30 usiku
- NBC Premier League ratiba na CAF Champions League hatua ya robo fainali
- TRA vs Simba SC kituo kinachofuata Machi 14,2026
NBC Premier League ratiba hii hapa mechi zinazofuata Machi 12,2026. Singida Black Stars 1-2 Simba SC ni matokeo ya mchezo uliopita. Usiku Dodoma Jiji FC 0-3 Azam FC. Mbali na NBC Premier League tumekosogezea ratiba ya CAF Champions League hatua ya robo fainali.
SOMA HII: Singida Black Stars 1-2 Simba SC NBC Premier League/ Highlights, goal, standings
Cheza na ushinde sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni muda huu
Hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kubashiri SportPesa bonyeza picha hii chini.

NBC Premier League ratiba hii hapa

Kwenye NBC Premier League ratiba ya leo Machi 12,2026 ni mchezo mmoja mkali. Tanzania Prisons vs Yanga SC. Huu unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
Yanga SC ni mabingwa watetezi wa NBC Premier League wanaongoza ligi. Tanzania Prisons wenyeji nafasi ya 15 wakiwa na pointi 13. Wapo kwenye hatari yakushuka daraja.
Machi 12,2025
Tanzania Prisons vs Yanga SC, saa 10:00 jioni
Machi 13,2026
Mashujaa FC vs Fountain Gate, saa 10:00 jioni
Machi 15,2025
Azam FC vs Yanga SC, saa 2:30 usiku
Mechi zijazo kwa Simba SC
Machi 14,2026, TRA United vs Simba SC, NBC
Machi 19,2026, Pamba Jiji FC vs Simba SC, NBC
Machi 22,2026, Simba SC vs TRA United, NBC
SOMA HII: Tanzania Prisons vs Yanga SC NBC Premier League: Live Score, line up, h2h, taarifa za timu

Mechi zijazo kwa Yanga SC

| Tanzania Prisons | vs | Yanga SC | NBC Premier | Machi 12 2026 |
| Azam FC | Vs | Yanga SC | NBC Premier | Machi 15 2026 |
| TRA United | Vs | Yanga SC | NBC Premier | Machi 18 2026 |
| Mtibwa Sugar | Vs | Yanga SC | NBC Premier | Machi 21 2026 |
Ratiba ya Dodoma Jiji FC
Aprili 3,2026 ni Dodoma Jiji FC vs Fountain Gate FC
Aprili 14,2026 ni Coastal Union vs Dodoma Jiji FC, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
Aprili 16,2026 ni Mtibwa Sugar vs Dodoma Jiji FC, Jamhuri, Dodoma.
Ratiba ya CAF Champions League robo fainali

Ijumaa, Machi 13,2026
Mamelod Sundowns vs Stade Malien, saa 3:00 usiku
Machi 14,2026, Jumamosi
AS FAR vs Pyramids FC, saa 7:00 usiku
Machi 15,2026, Jumapili
RS Berkane vs Al Hilal, saa 7:00 usiku
Jumatatu, Machi 16,2026
ES Tunis vs Al Ahly, saa 5:55 usiku
Matokeo ya mechi za NBC Premier League
Machi 11,2025
Singida Black Stars 1-2 Simba SC.
Dodoma Jiji FC 0-3 Azam FC.

Hitimisho
NBC Premier League ratiba haipoi kutokana na mechi za kazikazi. Dar Dabi inasubiriwa kwa shauku kubwa Machi 15,2026. Ni Azam FC vs Yanga SC, Uwanja wa Mkapa saa 2:30 usiku.

